900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
kweli walimu wanahali ngumu sijui hizo elemu watakujafaidi lini wakati kuna watu wana certificate wanatusua maishaMimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and Entomology
2. Molecular biology and Biotechnology
3. Cell biology and Genetic
4. Developmental biology
5. Ecology
6. Environmental science
7. Vertebrates Biology
LENGO LANGU KUU NIKUA ASSISTANT LECTURER KWAHYO NAOMBA USHAURI WENU TUKIZINGATIA SOKO NA MAHITAJI
ASANTENI
Kwann ujakosea nilipoandika KABSA mwalimu wa kiswahili darasa la pili CUtasomaje Masters huwezi jua matumizi ya H katika kiswahili. Neno ni hujakosea
Kunufaika na elimu ni akili ya mtu mwenyewkweli walimu wanahali ngumu sijui hizo elemu watakujafaidi lini wakati kuna watu wana certificate wanatusua maisha
Kwann wasisome tatzo unaakil mgandoWalimu wameanza kusoma masters
Mwanasuaso🙌🙌🙌Kwann wasisome tatzo unaakil mgando
bio tech with an education degree, bongo bwana kazi tunayo ...haya basi all the best kakaWatu wajuzi jaman hizo KOZI zote nimeambiwa naweza soma na nasoma bachelor of science with education
Yan ujui kama nasoma masomo ya science biology na chemistry na ziada ya ualimubio tech with an education degree, bongo bwana kazi tunayo ...haya basi all the best kaka