Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

Rad020

Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
65
Reaction score
93
Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only differentiating factor, bei zao za vifurushi hazitofautiani sana, pia ni mifi ipi yenye speed nzuri na kwann hawatoi za speed ya 5g wanatoa tu za 4g
 
Kama hutaki kutembea na device, karibu ofisini kwetu tukupatie line ya Vodacom Unlimited kwa elfu 70 tu. Line hii unaweza ukaweka kwenye simu pasipo kutembea na device.

Nipigie, 0795790411
Au tembelea ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor karibu na Vunja bei.
 
Acha utapeli kijana line yoyote ya vodacom unajiunganisha *149*01*77# kuna watu bado mnawapiga na SME bundle?
 
Mkuu wangu, hiyo menu haikubali hadi namba iwe imewezeshwa na SME. Ningependa jaribu hiyo USSD kwenye namba yoyote ambayo ipo karibu yako uone kama itakubali.

Hata wadau wengine ambao wanasoma andiko hili wanaweza kujaribu hiyo USSD kama itakubali. Halafu labda sijui unaposema utapeli unamaanisha nini?
 
Acha utapeli kijana line yoyote ya vodacom unajiunganisha *149*01*77# kuna watu bado mnawapiga na SME bundle?
Imenilazimu nikupe shule kidogo mkuu wangu.

Kwa hoja ya mtoa mada sijamshauri ajiunge na SME, nimemshauri anaweza akanunua line ya Unlimited ambayo mteja anatumia internet pasipo kikomo kwa muda wa mwezi mmoja.

SME, ni vifurushi vya siku 30 ambavyo vinaweza visifike hiyo siku kutokana na matumizi ya mtumiaji.
 
Hapo umeeleweka yaani kumbe mpaka upewe line so hii line ninayoitumia kwa sasa ndo R.I.P???
 
AIRTEL NI TAKATAKA
Tupo na takataka yetu tunatamba nayo kwa miaka 3 sasa😋😋
Screenshot_20260128_160337_Chrome.png
 
Back
Top Bottom