astalavista
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 261
- 304
Ni hadi uiwezeshe line yako ni hiyo menu itakubali. Na inaanza kufanya kazi kuanzia week Moja hadi mbili toka uiwezeshe.Nimejaribu imeandika zijakidhi vigezo...
Ni hadi uiwezeshe line yako ni hiyo menu itakubali. Na inaanza kufanya kazi kuanzia week Moja hadi mbili toka uiwezeshe.Nimejaribu imeandika zijakidhi vigezo...
Airtel ni bora kuliko vodaTupo na takataka yetu tunatamba nayo kwa miaka 3 sasa😋😋
View attachment 3535573
Hio hapo.. usiumize ndongaya tigo
Voda zamani walikua wanakimbizaAirtel ni bora kuliko voda
Voda kuna muda wanapunguza spidi
Kama mtu eneo analokaa lina stable network ya Airtel namshauri achukue ya Airtel tu.Airtel ni bora kuliko voda
Voda kuna muda wanapunguza spidi
Ngoja TUONE naona mtandao ya simu haina ubunifu YAANI Kila anaenunua luta anaenunua uchafu/mafurushi/mavitu kibao hakuna luta ndogo ya unlimited, ndogo ZOTE wameweka vifurushi kama vya simu TU na zinawahi kuisha motoNaomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only differentiating factor, bei zao za vifurushi hazitofautiani sana, pia ni mifi ipi yenye speed nzuri na kwann hawatoi za speed ya 5g wanatoa tu za 4g
Ninyi ni voda ? Je mnaunga kisheria? Au kimtindoKama hutaki kutembea na device, karibu ofisini kwetu tukupatie line ya Vodacom Unlimited kwa elfu 70 tu. Line hii unaweza ukaweka kwenye simu pasipo kutembea na device.
Nipigie, 0795790411
Au tembelea ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor karibu na Vunja bei.
Sijajua kimtindo inakuaje! Mimi ni Vodacom aggregator. Ninayo mamlaka ya kukufanyia kazi kisheria kabisa. Ungejiuliza kwanini nafanya huduma bure naishi vipi? Jibu fupi ni kwamba nalipwa mshahara mwisho wa mwezi.Ninyi ni voda ? Je mnaunga kisheria? Au kimtindo
Sawa hapo umeelewekaSijajua kimtindo inakuaje! Mimi ni Vodacom aggregator. Ninayo mamlaka ya kukufanyia kazi kisheria kabisa. Ungejiuliza kwanini nafanya huduma bure naishi vipi? Jibu fupi ni kwamba nalipwa mshahara mwisho wa mwezi.
Hujakutana na winga uchochoroni, umekutana na mtu sahihi. Karibu nipigie 0795790411
Karibu sanaSawa hapo umeeleweka
Kabisa mkuuKama mtu eneo analokaa lina stable network ya Airtel namshauri achukue ya Airtel tu.
Changamoto za hizi router zinafanana kwa mitandao yote, ila atleast changamoto za Airtel zinavumilika.
Mkuu wa nje ya Dar tunasaidikaje?Sijajua kimtindo inakuaje! Mimi ni Vodacom aggregator. Ninayo mamlaka ya kukufanyia kazi kisheria kabisa. Ungejiuliza kwanini nafanya huduma bure naishi vipi? Jibu fupi ni kwamba nalipwa mshahara mwisho wa mwezi.
Hujakutana na winga uchochoroni, umekutana na mtu sahihi. Karibu nipigie 0795790411
Kwanini huduma hii mtoe nyie third part wakati voda wenyewe wapo?Kama hutaki kutembea na device, karibu ofisini kwetu tukupatie line ya Vodacom Unlimited kwa elfu 70 tu. Line hii unaweza ukaweka kwenye simu pasipo kutembea na device.
Nipigie, 0795790411
Au tembelea ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor karibu na Vunja bei.
Huduma ya M2M inafanyika kwa mteja wa sehemu yoyote. Muhimu awe na line ya Vodacom ambayo hajawahi kuisajili huduma ya M2M, pia asiwe anapata Staff bando.Mkuu wa nje ya Dar tunasaidikaje?
Mkuu, inawezekana unafahamu lakini naomba nikukumbushe. Asilimia kubwa ya kazi za kila siku kwenye Makampuni makubwa zinafanywa na makampuni ambayo yameingia makubaliano.Kwanini huduma hii mtoe nyie third part wakati voda wenyewe wapo?
Mfano halotel wana line zao za M2M kwa ajili ya internet tu zina bando je na voda nao ni hivyohivyo?
Mkuu ni lazima kusajili line nyingine, hakuna uwezekano wa line ya voda mtu aliyonayo ikawezeshwa hiyo access?Imenilazimu nikupe shule kidogo mkuu wangu.
Kwa hoja ya mtoa mada sijamshauri ajiunge na SME, nimemshauri anaweza akanunua line ya Unlimited ambayo mteja anatumia internet pasipo kikomo kwa muda wa mwezi mmoja.
SME, ni vifurushi vya siku 30 ambavyo vinaweza visifike hiyo siku kutokana na matumizi ya mtumiaji.
M2M haihitaji kusajaili line, unlimited utahitaji line nyingineMkuu ni lazima kusajili line nyingine, hakuna uwezekano wa line ya voda mtu aliyonayo ikawezeshwa hiyo access?
Nilidhani router hata porini unaConnect kumbe inategemea na stability ya networkKama mtu eneo analokaa lina stable network ya Airtel namshauri achukue ya Airtel tu.
Changamoto za hizi router zinafanana kwa mitandao yote, ila atleast changamoto za Airtel zinavumilika.
Hiyo huduma Ina Faida gani ?Huduma ya M2M inafanyika kwa mteja wa sehemu yoyote. Muhimu awe na line ya Vodacom ambayo hajawahi kuisajili huduma ya M2M, pia asiwe anapata Staff bando.
Mkuu, kwa Airtel pia inawezekana nikapata hiyo laini ya Unlimited.Ukitaka SMS ni line inayotumia inawezeshwa ipate hiyo access.
Ukitaka unlimited utauziwa line ya hiyo huduma.