Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

Leo jumatano team ya M2M itakuwa maeneo ya Sinza, Shekilango, Mawasiliano na Tandale kwajili ya kukuhudumia ili ujipatie vifurushi vizuri kwa gharama ndogo mnoo.

Tupigie tukuletee huduma sehemu ulipo, 0795790411
1000028777.jpg
 
Kama mtu eneo analokaa lina stable network ya Airtel namshauri achukue ya Airtel tu.

Changamoto za hizi router zinafanana kwa mitandao yote, ila atleast changamoto za Airtel zinavumilika.
Uko sahihi hakuna ipi ni Bora Kuliko nyingine mtu aangalie kwanza coverage ya Mtandao maeneo alipo kabla ya Kufanya final decision ya ipi ya Kuchukua Kwasbabu mitandao yetu Ina variation sana maeneo Kwa maeneo
 
Kama hutaki kutembea na device, karibu ofisini kwetu tukupatie line ya Vodacom Unlimited kwa elfu 70 tu. Line hii unaweza ukaweka kwenye simu pasipo kutembea na device.

Nipigie, 0795790411
Au tembelea ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor karibu na Vunja bei.
Line unaweza ukaitumia kwa matumizi mengine? Na je, line ya kawaida ya voda unaweza ibadili kuwa unlimited?
 
Mkuu wangu, hiyo menu haikubali hadi namba iwe imewezeshwa na SME. Ningependa jaribu hiyo USSD kwenye namba yoyote ambayo ipo karibu yako uone kama itakubali.

Hata wadau wengine ambao wanasoma andiko hili wanaweza kujaribu hiyo USSD kama itakubali. Halafu labda sijui unaposema utapeli unamaanisha nini?
Achana na huyo mpuuzi kada wa ccm, hajawahi kuwa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom