Acha utapeli kijana line yoyote ya vodacom unajiunganisha *149*01*77# kuna watu bado mnawapiga na SME bundle?Kama hutaki kutembea na device, karibu ofisini kwetu tukupatie line ya Vodacom Unlimited kwa elfu 70 tu. Line hii unaweza ukaweka kwenye simu pasipo kutembea na device.
Nipigie, 0795790411
Au tembelea ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor karibu na Vunja bei.
Mkuu wangu, hiyo menu haikubali hadi namba iwe imewezeshwa na SME. Ningependa jaribu hiyo USSD kwenye namba yoyote ambayo ipo karibu yako uone kama itakubali.Acha utapeli kijana line yoyote ya vodacom unajiunganisha *149*01*77# kuna watu bado mnawapiga na SME bundle?
Imenilazimu nikupe shule kidogo mkuu wangu.Acha utapeli kijana line yoyote ya vodacom unajiunganisha *149*01*77# kuna watu bado mnawapiga na SME bundle?
70k unapewa speed gani?Kama hutaki kutembea na device, karibu ofisini kwetu tukupatie line ya Vodacom Unlimited kwa elfu 70 tu. Line hii unaweza ukaweka kwenye simu pasipo kutembea na device.
Nipigie, 0795790411
Au tembelea ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor karibu na Vunja bei.
Hapo umeeleweka yaani kumbe mpaka upewe line so hii line ninayoitumia kwa sasa ndo R.I.P???Imenilazimu nikupe shule kidogo mkuu wangu.
Kwa hoja ya mtoa mada sijamshauri ajiunge na SME, nimemshauri anaweza akanunua line ya Unlimited ambayo mteja anatumia internet pasipo kikomo kwa muda wa mwezi mmoja.
SME, ni vifurushi vya siku 30 ambavyo vinaweza visifike hiyo siku kutokana na matumizi ya mtumiaji.
Tupo na takataka yetu tunatamba nayo kwa miaka 3 sasa😋😋AIRTEL NI TAKATAKA
Hii ni mifi ya airtel?Tupo na takataka yetu tunatamba nayo kwa miaka 3 sasa😋😋
View attachment 3535573
Kuhusu line za unlimited nafahamu hata yas wanazo, ila nahitaji pamoja na device yake ila iwe mifi sio zile router kubwaUkitaka SMS ni line inayotumia inawezeshwa ipate hiyo access.
Ukitaka unlimited utauziwa line ya hiyo huduma.
Sio mifi ni Router mkuu..Hii ni mifi ya airtel?
Vigezo na masharti ni vipi mkuu?Acha utapeli kijana line yoyote ya vodacom unajiunganisha *149*01*77# kuna watu bado mnawapiga na SME bundle?
Nimejaribu imeandika zijakidhi vigezo...Hata wadau wengine ambao wanasoma andiko hili wanaweza kujaribu hiyo USSD kama itakubali. Halafu labda sijui unaposema utapeli unamaanisha nini?
Unahitaji ya Vodacom?Kuhusu line za unlimited nafahamu hata yas wanazo, ila nahitaji pamoja na device yake ila iwe mifi sio zile router kubwa