Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

Ngoja TUONE naona mtandao ya simu haina ubunifu YAANI Kila anaenunua luta anaenunua uchafu/mafurushi/mavitu kibao hakuna luta ndogo ya unlimited, ndogo ZOTE wameweka vifurushi kama vya simu TU na zinawahi kuisha moto
 
Ninyi ni voda ? Je mnaunga kisheria? Au kimtindo
 
Ninyi ni voda ? Je mnaunga kisheria? Au kimtindo
Sijajua kimtindo inakuaje! Mimi ni Vodacom aggregator. Ninayo mamlaka ya kukufanyia kazi kisheria kabisa. Ungejiuliza kwanini nafanya huduma bure naishi vipi? Jibu fupi ni kwamba nalipwa mshahara mwisho wa mwezi.

Hujakutana na winga uchochoroni, umekutana na mtu sahihi. Karibu nipigie 0795790411
 
Sawa hapo umeeleweka
 
Mkuu wa nje ya Dar tunasaidikaje?
 
Kwanini huduma hii mtoe nyie third part wakati voda wenyewe wapo?
Mfano halotel wana line zao za M2M kwa ajili ya internet tu zina bando je na voda nao ni hivyohivyo?
 
Kwanini huduma hii mtoe nyie third part wakati voda wenyewe wapo?
Mfano halotel wana line zao za M2M kwa ajili ya internet tu zina bando je na voda nao ni hivyohivyo?
Mkuu, inawezekana unafahamu lakini naomba nikukumbushe. Asilimia kubwa ya kazi za kila siku kwenye Makampuni makubwa zinafanywa na makampuni ambayo yameingia makubaliano.

Mfano, kazi za Customer service ipo Kampuni nyingne ambayo wapo kwenye makubaliano.

Kuna Quality assurance, Sales n.k.....

Mitandao ya simu, Banks etc... wanatumia hizo Kampuni kwajili ya daily activities.
 
Mkuu ni lazima kusajili line nyingine, hakuna uwezekano wa line ya voda mtu aliyonayo ikawezeshwa hiyo access?
 
Kama mtu eneo analokaa lina stable network ya Airtel namshauri achukue ya Airtel tu.

Changamoto za hizi router zinafanana kwa mitandao yote, ila atleast changamoto za Airtel zinavumilika.
Nilidhani router hata porini unaConnect kumbe inategemea na stability ya network
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…