Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

Leo jumatano team ya M2M itakuwa maeneo ya Sinza, Shekilango, Mawasiliano na Tandale kwajili ya kukuhudumia ili ujipatie vifurushi vizuri kwa gharama ndogo mnoo.

Tupigie tukuletee huduma sehemu ulipo, 0795790411
 
Kama mtu eneo analokaa lina stable network ya Airtel namshauri achukue ya Airtel tu.

Changamoto za hizi router zinafanana kwa mitandao yote, ila atleast changamoto za Airtel zinavumilika.
Uko sahihi hakuna ipi ni Bora Kuliko nyingine mtu aangalie kwanza coverage ya Mtandao maeneo alipo kabla ya Kufanya final decision ya ipi ya Kuchukua Kwasbabu mitandao yetu Ina variation sana maeneo Kwa maeneo
 
Line unaweza ukaitumia kwa matumizi mengine? Na je, line ya kawaida ya voda unaweza ibadili kuwa unlimited?
 
Achana na huyo mpuuzi kada wa ccm, hajawahi kuwa na akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…