DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sahii kabisaMkopo ni kuboost biashara...sio kuanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahii kabisaMkopo ni kuboost biashara...sio kuanza
Umetaja neno MIKOPO mara 2🤠🤠🤠narudi, ila mikopo jamani,mikopo 😪😪
Hata ugalegale hawakupi ng'oSio kila mwenye nyumba anasifa za kukopesheka, hakuna benki inamkopesha mteja ili iuze dhamana yake[emoji4]
Nimempa tu warning anaweza endelea....Uaimtishe,mikopo Ni mizuri sana
Idea nzuriMi nafikiri asset ndio mtaji wako uza nyumba au pangisha nyumba mwenyewe usiwape benk nyumba yako take that risk Kama unasehem ya kuiweka familia yako pangisha nyumba kwa mwaka mmoja na upewe cash miezi 10 au mwaka
sio vizuri kukopa mtaji, hua tunakopa ku ku scale-up business ila sio kuanziaa new business aisee maybe if it’s >90% chance of success or ulishaifanya and uka close unataka ku resume.Habari zenu wakuu.
Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je?
Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe.
Natanguliza shukrani zangu
Na ni biashara yenye soko sio inayojifia kwa ukosefu wa sokoMkopo ni kuboost biashara...sio kuanza
ACHANA NA MAMBO YA BENKI,HEBU SEMA UNATAKA SHI NGAPI NA UTAZIRUDISHA LINI?Habari zenu wakuu.
Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je?
Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe.
Natanguliza shukrani zangu
AiseeeACHANA NA MAMBO YA BENKI,HEBU SEMA UNATAKA SHI NGAPI NA UTAZIRUDISHA LINI?
Yaani umenichekeshaaa ..dah...sio poa aise
Jamaa anatuokota kinomaShemeji yetu kwa
Joannah