The Black Hermit
Member
- Jul 8, 2017
- 86
- 73
- Thread starter
- #21
Asante Mkuu. Haitasumbua kwenye miinuko na milima? (Japo sipandishi sana milima ila kuna ka Kilima hapa Iringa kuelekea Mjini ukiwa unatoka Dar kama utakuwa ulishafika). Nawaza kwamba kukapita kila siku kunaweza kuwahi kuchosha engine.Ningekuwa mimi ningechukua Boxer 125 nisave mafuta zaidi.
Siwezi kwenda speed kubwa mkuu. Nitaenda kama nasindikiza Mheshimiwa Rais kwenye kusalimia halaiki wakati wa sherehe za Uhuru 😂😂😂. Kikubwa ninachoangalia ni mafuta, uimara na uwezo wa kutembea njia ya rafu na lami.Kama ni kila siku chukua honda ,mafuta mkuu ndio factor na kudumu muda mrefu. Ishu ya speed kubwa sikushauri imewapoteza wengi hasa wanapoingia lami .
Unadhani Honda anaweza kwenda km ngapi kwa Lita 1 mkuu?Kama ni kila siku chukua honda ,mafuta mkuu ndio factor na kudumu muda mrefu. Ishu ya speed kubwa sikushauri imewapoteza wengi hasa wanapoingia lami .
Asante wa ushauri huu.me niko tofauti kidogo, chukua boxer 150.
ni rahsi kupata spare zake endapo itaharibika,zingine utadanganywa kuwa mafuta znanusa ila ikiharibika ktk engine sio rahsi spare zake kupatikana na zikipatikana ni bei ghari sana,vinginevo unapaki.
Mimi ninayo hiyo mdomo wa mamba
Hilo Honda?? Hilo!!!Hilo Honda nimelielewa.
Mkuu umenifanya nicheke 😂😂😂. Ila hongera kwa mipango huo. Mimi sina mpango wa V8 bado, huenda huko mbele, nikihitaji nitakuja tena nipate ushauri kabla sijanunua.Ama kweli utajiri huanzia chini nimeamini maana si kwanamna hii matajiri wa jf wamiliki wa ma range ma bmw ma v8 na magorofa yao mbweni huko kuzielezea boxer kinagaubaga angalau sasa mleta mada amenitoa hofu maana Kuna baskeli nataka ninunue nikishakusanya mihela ntakuja humu kuomba ushauri
Speed siyo kipaumbele mkuu. Kwanza uendeshaji wangu ni 40km/hr mpaka 50km/hr. Nikivuka hapo labda niwe nimeaga nyumbani kabisa. Bado naipenda familia.Chukua sinoray 180 gia 6 speed kifo
Mafuta kidogo,
Hujui kichaa cha piki piki mwanzoni inakuwa Ivo ila ukishazoea ehee nina experience na ili risk kubwa mi sikushauri ununue piki piki jichange tafuta ist piki piki ni kifo .....Speed siyo kipaumbele mkuu. Kwanza uendeshaji wangu ni 40km/hr mpaka 50km/hr. Nikivuka hapo labda niwe nimeaga nyumbani kabisa. Bado naipenda familia.
Spea vipi mkuu? Naweza muzipataChukua honda ace 125, pikipiki ipo vzuri sana , kwenye matumizi ya mafuta ipo vzur, ipo flexible ukiwa unaendesha na haina mitetemo.
Lakini haimaanishi kuwa siwezi kwenda tofauti na wengine. Hata hivyo umeshauri vizuri sana.Hujui kichaa cha piki piki mwanzoni inakuwa Ivo ila ukishazoea ehee nina experience na ili risk kubwa mi sikushauri ununue piki piki jichange tafuta ist piki piki ni kifo .....
Achana na toyo bora uvute mkopo tafuta ist ata ya milioni tano utakuja kunishukuru....Spea vipi mkuu? Naweza muzipata
Lakini haimaanishi kuwa siwezi kwenda tofauti na wengine. Hata hivyo umeshauri vizuri sana.
Spea vipi mkuu? Naweza muzipata
Lakini haimaanishi kuwa siwezi kwenda tofauti na wengine. Hata hivyo umeshauri vizuri sana.
Kwa iringa chukua bm150 x kwasababu ya miinukoAsante Mkuu. Haitasumbua kwenye miinuko na milima? (Japo sipandishi sana milima ila kuna ka Kilima hapa Iringa kuelekea Mjini ukiwa unatoka Dar kama utakuwa ulishafika). Nawaza kwamba kukapita kila siku kunaweza kuwahi kuchosha engine.
Spea za honda zinapatikana kaka, na spea za honda hazina magumashi.Spea vipi mkuu? Naweza muzipata
Kwa iringa hii ambako hamna watumiaji mkuuSpea za honda zinapatikana kaka, na spea za honda hazina magumashi.