The Black Hermit
Member
- Jul 8, 2017
- 86
- 73
- Thread starter
- #41
Mkuu ulifanikiwa kupata chochote kitu utusheee na sisi?Ama kweli utajiri huanzia chini nimeamini maana si kwanamna hii matajiri wa jf wamiliki wa ma range ma bmw ma v8 na magorofa yao mbweni huko kuzielezea boxer kinagaubaga angalau sasa mleta mada amenitoa hofu maana Kuna baskeli nataka ninunue nikishakusanya mihela ntakuja humu kuomba ushauri