Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Kiswahili hakitoshi? Ni wananchi wa wapi huko ambako hawajui Kiswahili? Na kama hawajui Kiswahili kwa nini wasifundishwe wakakijua badala yake tuwafundishe Kisukma?
 
Kuna lugha inayotuunganisha ya Kiswahili sasa lugha ya kabila moja tena ya nini. Ukabila huo. Kwa nini nijifunze lugha isiyokuwa ya kabila langu wakati kuna lugha isiyokuwa ya kabila moja inayotuunganisha.
 
Hayo ni maandalizi ya Nyanza Nation.

Tuwe na lugha yetu nayo ni kisukuma mji wetu mkuu ni Mwanza.

Wasukuma hoye.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ujinga wa watu flani hao wasiojua Kiswahili vizuri.
wa
 


Inashangaza mbunge kuongea Kama mtoto, maneno hayo yalipaswa kutolewa na wanafunzi wa Kidato cha pili wanaobishana,

Sio mtu mzima tena mwenye Cheo cha ubunge
 
Hivi lile somo la historia yenu liliishia wapi
 
Hadi nimehisi kichefuchefu kwa hoja yake ya kipumbavu
 
Alishapona huyu?
 
2020 tuliachiwa wapumbavu wengi mjengoni, kuna mtu aliweka wapumbavu wengi ili atawale milele
 
Wabunge hawa hawana akili nchi ipo kwenye mkwamo wa mafuta wao wapo busy kujadili mambo mwingine tofauti poor tanzania
Mkuu sio hawana akili tu bali ni wapumbavu na wabinafsi tena wakabila wakubwa sana na hawa ndio walikhwa wakimpoteza yule buana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…