Bi Jacqueline mimi siyo kijana hata kidogo.
Naifahamu vyema concorde na hata tulikuwa tunaiona kwenye tv. Hata siku ndege inapelekwa museum ilitoka live kwenye tv.
Concord ilikuwa na special airway na ilikuwa inatua kwenye airports maalumu duniani. Ilikuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya speed ya sauti.
Hebu jaribu kugoogle Concorde aeroplane uone.