Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

Mrs van, wewe unatoka na ngapi bibie?!
Inategemea naenda wapi lakini mimi kwenye wallet yangu hua 50K-100K zikiwepo nakua na amani nikitoka.
Siku hizi mtu unatembeaje na cash 2M na zaidi kama sio ulimbuken au pesa hujazitolea jasho. Kuna lipa kwa simu mpaka kwenye bajaj, kulipa kwa bank kupo unatokaje na mamilioni
 
Makeup zinabadili watu jamani😀
 
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 24, 2025, ambapo washtakiwa hao wamerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili na kuwasilisha mahakamani fedha taslimu Shilingi milioni 46.3 au hati ya mali isiyohamishika yenye thamani hiyo😂😂😂😂😂
 
Sisi wengine tuko nanjilinji. Sio kila wakati tunaingia hapa kujua yanayoendelea. Hujaweza kufikiria hata kidogo wapo wengi watakaofungua Uzi huu tu hawajui hawa ni akina nani? Walifanya nini?. Uandishi mzuri ilipaswa ujazie pia walifanya nini? Wapi?
Hahaha
 
Safi kabisa,waliokulea wape maua Yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…