Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

Nje ya Mada
Mwakwinyo bado yupo sero?
Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la bondia Hassan Mwakinyo (29) anyetuhumiwa kwa kumjeruhi na kumshambulia mvuvi Mussa Ally (21) mkazi wa Sahare Jijini Tanga

Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi amesema baada ya tukio hilo wameanza uchunguzi huku wakiendelea kumshikilia Mwakinyo.
 
Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea Shilingi milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Mbali na Berry, mshtakiwa mwingine ni Rehema Mahanyu (31). Kwa pamoja wanatuhumiwa kwa makosa matatu, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu kwa lengo la kujipatia fedha kutoka kwa umma na kupokea amana kutoka kwa umma bila leseni.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 24, 2025, ambapo washtakiwa hao wamerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili na kuwasilisha mahakamani fedha taslimu Shilingi milioni 46.3 au hati ya mali isiyohamishika yenye thamani hiyo.

View attachment 3266353View attachment 3266355View attachment 3266356View attachment 3266357
Bado mdogo sana 32 yrs tu halafu janja janja nyingi hivi.

Mambo kama haya ya uhalifu ukifanya unahakikisha unaweka akiba ya kutosha kwaajili ya kina Kibatala ili uwe na uhakika wa kushinda kesi endapo utakamatwa.

N de A
 
Huyo anapiga picha na dola lak...i ila yeye mtaji wake tako n ziwa jipe vimeshindwa kumpa 46m...siku hizi kesi ya upigaji mnatakiwa mtoe nusu ya prsa mliyopiga kama dhamana
Anakwambia yeye kwa siku akitoka matembezini kwenye pochi yake hakosi milion 2 kumbe hela za upatu za watu. Hawa watu ni hatari kwa taifa
 
Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea Shilingi milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Mbali na Berry, mshtakiwa mwingine ni Rehema Mahanyu (31). Kwa pamoja wanatuhumiwa kwa makosa matatu, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu kwa lengo la kujipatia fedha kutoka kwa umma na kupokea amana kutoka kwa umma bila leseni.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 24, 2025, ambapo washtakiwa hao wamerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili na kuwasilisha mahakamani fedha taslimu Shilingi milioni 46.3 au hati ya mali isiyohamishika yenye thamani hiyo.

View attachment 3266353View attachment 3266355View attachment 3266356View attachment 3266357
Duuh,kimeumana!
 
Back
Top Bottom