CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Hamna usipotoshe jamiiRushwa ni rafiki wa uovu.
Mkuu mbona ukienda stationery wanafyatua kama namba unayo!
Sawa🫠Wwe usinihalibie ugali😎
Dah mkuu upo serious haujui?Kweli? Hii mpya..
Hii yote ni kitambulisho kilichopotea au kufutika tu?Mkuu ngoja Nikupe Utaratibu.
1.Piga picha ya Passport size.
ngia Online Tovuti ya Polisi Omba Lost Report,
Utalipia 1000,
Print Lost Report yako.
2.Chukua Vyeti vyako vyote, Kuzaliwa, shule, vipaimala, ubatizo Msikitini nk.
3. Nenda Offisi za Selikali ya mtaa ukaanze Upya.
NARUDIA NENDA SELIKALI ZA MITAA UKAANZE UPYAAAAA.
4. Ukitoka selikali za Mitaa Utaenda offisi za NIDA mimi nilienda Manispaa ya Ubungo
Sijui huwezi amini!Dah mkuu upo serious haujui?
PenseliTechnology ipi imetumika kutengeneza hii kitu wizi mtupu
Dakika tu aiseeSijui huwezi amini!
Mbona mambo mengi sana. Kifutika tu ndo niombe loss report?Mkuu ngoja Nikupe Utaratibu.
1.Piga picha ya Passport size.
ngia Online Tovuti ya Polisi Omba Lost Report,
Utalipia 1000,
Print Lost Report yako.
2.Chukua Vyeti vyako vyote, Kuzaliwa, shule, vipaimala, ubatizo Msikitini nk.
3. Nenda Offisi za Selikali ya mtaa ukaanze Upya.
NARUDIA NENDA SELIKALI ZA MITAA UKAANZE UPYAAAAA.
4. Ukitoka selikali za Mitaa Utaenda offisi za NIDA mimi nilienda Manispaa ya Ubungo
Ni sawa na kuchimbia pesa chini tu, CCM inatufanya tunaishi maisha ya kijima sana.Ukipata kingine hakiikisha una save electronically na unatoa duplicate card ya akiba ambayo ndio utatembea nayo OG iweke sehemu salama.
Nenda ofcn wakupune mpunga na calendar upigweMkuu sitaki kufoji ID, inapohitajika inatakiwa Original ID hata zile copy za online hawataki
Kama hakina microchip kama passport ina maana kikifutika ni kama plastic nyingine yoyote Ile kwa hiyo hakiwezi kutumika kukutambulisha.Mbona mambo mengi sana. Kifutika tu ndo niombe loss report?
Anyway, ulipopereke hivyo vitu ulipata baada ya muda gani?
Uwii kwahiyo nikienda popote napata?Dakika tu aisee
Mkuu kama inawezekana saidia, nahitaji hii ID ku verify issue Fulani online na huwa ni live verification, ukitumia hizi copy za mtaani ni risky maana unaweza kuwa burned na ni issue ya hela ndo maana nahangaikaNingekula hii hela sema msala anonymity.
yap broPole mkuu inabidi ujipambanie, hii ndo Bongo