Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwa kifupi ukitaka kufanya application ya chochote huku bongo wana act kama hawakutambui!Mnashangaa NIDA? Ukitaka ku renew passport unaanza upya utafikiri data zako huwa wanazi delete kwenye system. Miaka na miaka tunauliza kwanini unaanza kujaza form upya unajaza vitu vile vile ambavyo vipo kwenye database ya uhamiaji na NIDA?