NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

Walishatoa tangazo kitambo sana kuwa hiyo awamu ilikuwa na makosa wahusika wavirudishe ofisi za NIDA wafanyiwe marekebisho chakwangu mwenyewe kipo ivyo ni uvivu tu wa kukirudisha

Huu utamaduni wa kuilaimu serikali kwa kila jambo bila kuwa na taarifa mngeuacha sometimes mnatia aibu
 
Hakuna haja ya kudukua.
Wanaweza ku act in a very profesheno wei kuwawezesha wananchi kupata kwa wepesi vitambulisho vyao pasipo kuwa na hizo to and fro zisizo na maana.
Kinachohitajika ni wao kupokea mawazo mapya.
hujanielewa namaanisha pia hawana mfumo imara wa kulinda taarifa unaingilika. Nimeongeza madhaifu ya mamlaka
 
Walishatoa tangazo kitambo sana kuwa hiyo awamu ilikuwa na makosa wahusika wavirudishe ofisi za NIDA wafanyiwe marekebisho chakwangu mwenyewe kipo ivyo ni uvivu tu wa kukirudisha

Huu utamaduni wa kuilaimu serikali kwa kila jambo bila kuwa na taarifa mngeuacha sometimes mnatia aibu
Wewe naye haujielewi.
Unaongelea habari za kufikirika.
Wenzako tumeenda ofisi za Nida na kufuata taratibu zote za kupata Id mpya lakini hadi leo mwaka 2026 unaelekea ukingoni hakuna cha simu wala sms kutoka Nida kutueleza kwamba tukachukue Id.

Nida waache uhuni.
Acha kutetea wahuni
Usiwe mhuni.
 
Sasa nida mpya ina uhusiano gani na NIDA iliyochapishwa kimakosa

Huyo kesi yake na yako ni tofauti
 
Ni kama utumishi tu wanavyohangaika na wasaili, unaaply online na mavyeti, rita, nacte na nida wanakuthibitisha, lakini bado ukienda unaenda na vyeti kibao.. ukisahau hata id unakuwa disqualified!
Lazima uende na vyeti original, kwenye mtandao chochote kinaezekana sasa kama umejaza taarifa feki kwa kuilaghai system watajuaje
 
Yupi ambaye mchakato wake ulipaswa kuwa wa haraka zaidi
Kati ya anayehitaji nida kwa mara ya kwanza na ambaye alishapata ili alihitaji taarifa zirekebishwe?
Mtoa mada kauliza nini afanye kwa nida iliyochunika kwa maana hata kwenda bado hajaenda sasa hiyo haraka inafanywaje wakati hata hajaenda
 
Kwa hiyo hawaamini mifumo yao walioianzisha wao wenyewe?
Sasa kama kuna kuanzishwa wewe huoni yupo anaweza kuanzisha pia mifumo kinzani

Mambo za mifumo yana ujanja mwingi simu za mikopo zenyewe siku hizi watu wanatoa pasword na hawalipi sembuse hiyo ajira portal
 
Mmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.

NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja ulikuwa kwenye koti baada ya kufua nimekuja kuiona imeshafutika kabisa hakuna hata taarifa moja ni card tupu. Na Nina shida ya haraka na nahitaji physical ID ili nifanikishe jambo langu. Je naweza nikipata Monday?

Natanguliza shukran !
View attachment 3606542View attachment 3606543
Nenda na elfu 20 wakupe control namba ulipie utapata kingine kipya ambacho hakifutiki....Nilifanya hivyo pia
 
Mtoa mada kauliza nini afanye kwa nida iliyochunika kwa maana hata kwenda bado hajaenda sasa hiyo haraka inafanywaje wakati hata hajaenda
Kesi ya mtoa mada na yangu zinafanana. Nimeenda na kufuata taratibu zao zote tangu mwaka jana hadi leo sijapewa id nyingine.
Wewe umeenda na kupewa ndani ya muda gani?
 
Kesi ya mtoa mada na yangu zinafanana. Nimeenda na kufuata taratibu zao zote tangu mwaka jana hadi leo sijapewa id nyingine.
Wewe umeenda na kupewa ndani ya muda gani?
Mara hii ulienda kufuatilia nida nyingine sio mpya mbona hueleweki
 
Back
Top Bottom