Kwa hiyo tuendelee kutumia zile namba bila id.But serikali Iko against it, ndo maana ukifahamika unatoa huduma hiyo NIDA na polisi wanakula sahani moja na wew.
Kwa hiyo tuendelee kutumia zile namba bila id.But serikali Iko against it, ndo maana ukifahamika unatoa huduma hiyo NIDA na polisi wanakula sahani moja na wew.
But serikali Iko against it, ndo maana ukifahamika unatoa huduma hiyo NIDA na polisi wanakula sahani moja na wewHiyo huduma inapatikana wapi mkuu?
Kwa kweli Kuna shida sehemu, haiwezekani kitambulisho mhimu hivo kichukuwe zaidi ya mwezi. Alafu sasa NIDA wanavyojitapa Sasa kwenye page zao za social media! Ukiona posts zao unaweza ukapata moyo ila ukisoma comments utaona tu wanafanya siasa kwenye mambo ya msingiMimi natumia copy baada ya jamaa kunizungusha almost mwaka sasa.
Nilifanya maombi ya id mpya mwaka jana, hadi leo hii sijapata ila nilichoona wamefanyia kazi mabadiliko niliyoyafanya.
Kwa kuwa Kwa sasa hawajaanza kufuatilia kama umefoji na ofisi za serikali zinavipokea ilimradi wanaona si nakala halisi endelea kutumia, ila ni kuwa cautious maana ipo siku wanaweza kuanzisha msako ikawa shida. As long as wameandika ni offense kunakili na kureprint bado ni makosa kisheria na wakikushika kinakulamba.Kwa hiyo tuendelee kutumia zile namba bila id.
Kuna toleo la kwanza vile vya kwanza kabisa ndio OG mimi ninacho hakijafutika mpaka leo na hakifutiki kirahisi halafu kuna hilo toleo la 2 hapo ndipo jamaa walipopiga ndio hicho kinafutika vinafutika hata akienda kuchukua kingine na chenyewe kitakua kinafutikaTapeli kwenye 1&2
Kuna ule ujinga wa namba zao, waliweka wakisema kupitia hizo namba unaweza kufuatilia kujua kwa sasa maombi yako ya id yamefikia wapi.But serikali Iko against it, ndo maana ukifahamika unatoa huduma hiyo NIDA na polisi wanakula sahani moja na wew
Kwa kweli Kuna shida sehemu, haiwezekani kitambulisho mhimu hivo kichukuwe zaidi ya mwezi. Alafu sasa NIDA wanavyojitapa Sasa kwenye page zao za social media! Ukiona posts zao unaweza ukapata moyo ila ukisoma comments utaona tu wanafanya siasa kwenye mambo ya msingi
Kiufupi hata ule mfumo wa online wa kutambua NIDA Yako unaweza ukajaza taarifa zako sahihi bado mfumo ukakwaminisha kuwa umejaza taarifa zisizo sahihi😀😀😀😀😀😀😀.Kuna ule ujinga wa namba zao, waliweka wakisema kupitia hizo namba unaweza kufuatilia kujua kwa sasa maombi yako ya id yamefikia wapi.
Cha ajabu li namba lenyewe halifanyi kazi yaani ni uhuni mtupu
Wana mambo ya kijinga sana.Kuna toleo la kwanza vile vya kwanza kabisa ndio OG mimi ninacho hakijafutika mpaka leo na hakifutiki kirahisi halafu kuna hilo toleo la 2 hapo ndipo jamaa walipopiga ndio hicho kinafutika vinafutika hata akienda kuchukua kingine na chenyewe kitakua kinafutika
NIDA waache mambo ya kihuniKiufupi hata ule mfumo wa online wa kutambua NIDA Yako unaweza ukajaza taarifa zako sahihi bado mfumo ukakwaminisha kuwa umejaza taarifa zisizo sahihi😀😀😀😀😀😀😀.
Kuna mdhabuni kawepewa hiyo tenda ndugu, lazima kapuni yake iendelee kufanya kazi 😀😀Kuna toleo la kwanza vile vya kwanza kabisa ndio OG mimi ninacho hakijafutika mpaka leo na hakifutiki kirahisi halafu kuna hilo toleo la 2 hapo ndipo jamaa walipopiga ndio hicho kinafutika vinafutika hata akienda kuchukua kingine na chenyewe kitakua kinafutika
Wazo zuri! Ila haiwezekani kampuni binafsi ikapewa access ya nyaraka mhimu kama NIDA. Maana wakiruhuru waprint means inabidi wapewe mfumo wa ku access taarifa zako ili wapate hiyo nakala ya ID Yako, na hiyo si salama. Labda wangepereka tu machine kila kata au city council na akawepo mtu wa NIDA Kwa ajili ya hiyo kazi.Wana mambo ya kijinga sana.
Wangeweza kutoa warrant kwa taasisi binafsi kuweza kuwa printia watu hizo Id baada ya kufanya malipo kidogo ya kiserikali.
Kuna jambo halipo sawa.Popote penye tatizo endelevu, Kuna mtu anafaida na uwepo wa tatizo Hilo, other lingetafutiwa solution.
Kwanza imekuwa over priced alafu pili hata ukilipia haupati huduma Kwa wakati. Bora ingekuwa over priced lakini ipatikane chap kama sim cardKuna jambo halipo sawa.
Haiwezekani waseme mtu akipoteza id alipie elfu 20 ili kupata id mpya lakini cha ajabu hapati hiyo id mpya.
Unategemea mtu timamu atalipa hiyo elfu 20 mara nyingine tena wakati ile ya kwanza haijaleta majibu yoyote?
Hao jamaa wa NIDA ni wahuni tu.
Ambacho wanakifanya sio kuwapa watu binafsi access ya kila kitu muda wote. Wanachokifanya wao ni kuwapa kibali hao watu cha ku print Id baada ya kufanya malipo ya kiserikali. Kwa lugha nyingine access wanapata pale tu malipo yakifanyika tena ndani ya duration ya muda fulani, baada ya hapo data zote zinapotea.Wazo zuri! Ila haiwezekani kampuni binafsi ikapewa access ya nyaraka mhimu kama NIDA. Maana wakiruhuru waprint means inabidi wapewe mfumo wa ku access taarifa zako ili wapate hiyo nakala ya ID Yako, na hiyo si salama. Labda wangepereka tu machine kila kata au city council na akawepo mtu wa NIDA Kwa ajili ya hiyo kazi.
Nasisitiza NIDA waache uhuniKwanza imekuwa over priced alafu pili hata ukilipia haupati huduma Kwa wakati. Bora ingekuwa over priced lakini ipatikane chap kama sim card
Itapendeza sana kikubwa mwananchi apate huduma Kwa wakati.Ambacho wanakifanya sio kuwapa watu binafsi access ya kila kitu muda wote. Wanachokifanya wao ni kuwapa kibali hao watu cha ku print Id baada ya kufanya malipo ya kiserikali. Kwa lugha nyingine access wanapata pale tu malipo yakifanyika tena ndani ya duration ya muda fulani, baada ya hapo data zote zinapotea.
sikujuaPale nyuma ya id wameweka katazo la kufanya reprinting ile id. Any guy who reprints commits an offence.
wanatumia cheap materialsKuna toleo la kwanza vile vya kwanza kabisa ndio OG mimi ninacho hakijafutika mpaka leo na hakifutiki kirahisi halafu kuna hilo toleo la 2 hapo ndipo jamaa walipopiga ndio hicho kinafutika vinafutika hata akienda kuchukua kingine na chenyewe kitakua kinafutika
Mmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.
NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja ulikuwa kwenye koti baada ya kufua nimekuja kuiona imeshafutika kabisa hakuna hata taarifa moja ni card tupu. Na Nina shida ya haraka na nahitaji physical ID ili nifanikishe jambo langu. Je naweza nikipata Monday?
Natanguliza shukran !
View attachment 3606542View attachment 3606543