Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii.
Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi nitajaribu kukisia la uongo ni lipi na kukujibu. Kama utapenda muite mtu unayetaka akujibu au akisie jambo lako la uongo.
Mimi huwa napata mawazo mengi mapya nikiwa bafuni naoga au nikiwa chooni. Hivi niko peke yangu au kuna wengine pia wanapitia kwenye hali hii?