Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hapo juzi tuSikushangai me mwenyewe tangu ramadhani iishe sijavua wala kuvuliwa 🥺🥺
Hapo juzi tuSikushangai me mwenyewe tangu ramadhani iishe sijavua wala kuvuliwa 🥺🥺
😂😂😂ila humuNilitaka nije mwanza kesho
Tule wote pasaka,nimeghairi,utanikimbia!
Uwanja wa faraja!😂😂😂ila humu
Kabisa 😅Uwanja wa faraja!
Karibu Dodoma Binti Sayuni03,Tuimbe Hosana Binti sayuni!Kabisa 😅
Ya tatu Uongo
Yeye ndie kakupenda,uongo unakuwaje unausemea moyo wake?!Ya tatu Uongo
Huko kwenye ukame baki mwenyewe 😅😅Karibu Dodoma Binti Sayuni03,Tuimbe Hosana Binti sayuni!
Namba moja ni uongo 😂
Acha nimkimbie chap kwa haraka 😂 😂Huyo mtarajiwa wako atakuumiza vibaya😂😂😂
Si unaona hapo tumepangwa wasichama watatu 😀Yeye ndie kakupenda,uongo unakuwaje unausemea moyo wake?!
Alright!Naanza:
Namuita
- Nimepanda ndege kwa mara ya kwanza.
- Nimeonja pombe kali kwa mara ya kwanza.
- Nimeumizwa na mwanaume ila bado sijafikia hatua ya kuwaita mbwa.
Binti Sayuni03 , Nomadix , mzabzab , makutupora na mtarajiwa wangu secretarybird
Njoo tucheze, acha kuwa siliazi sanaUtoto ni raha sana .
Siliazi ndio nini? Si umesema nikudanganye?Njoo tucheze, acha kuwa siliazi sana
Asante sana dada, na mimi mwenyewe ni mrefu, mwenye weusi wa kuteleza 😂Una mkono mzuri sana wenye vidole virefu na chokleti kala
siliazi ni serious kwa kizungu.Siliazi ndio nini? Si umesema nikudanganye?
Sawa basi , naweka kichwa tu 😉siliazi ni serious kwa kizungu.
Ndiyo, njoo tucheze mchezo wa uongo na ukweli
Kuweka kichwa tu ni uongo, mdada kabla hujakaa vizuri utaikuta yote inanga'ganizwa kuzama ndani 😂 😆 😆Sawa basi naweka kichwa tu 😉