secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Njoo, nakusubiri kwa hamu na gamu.Sawa, nikatie hiyo tiketi ya ndege sasa nije kukutembelea huko dalisalamu
Njoo, nakusubiri kwa hamu na gamu.Sawa, nikatie hiyo tiketi ya ndege sasa nije kukutembelea huko dalisalamu
Mimi toka 2023 april.ila nawashwa balaa Hadi kizunguzungu .nimegundua sioni vizuri1. Sijavua tangu mwaka jana mwezi wa 4.
2. Sina pesa.
Ngoja nikuitie mzabzab na secretarybird wao ni wakunajiMimi toka 2023 april.ila nawashwa balaa Hadi kizunguzungu .nimegundua sioni vizuri
Yeah, tunakuna kule kusikokunika kirahisi.Ngoja nikuitie mzabzab na secretarybird wao ni wakunaji
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii.
Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi nitajaribu kukisia la uongo ni lipi na kukujibu. Kama utapenda muite mtu unayetaka akujibu au akisie jambo lako la uongo.
View attachment 3307127
Mimi huwa napata mawazo mengi mapya nikiwa bafuni naoga au nikiwa chooni. Hivi niko peke yangu au kuna wengine pia wanapitia kwenye hali hii?
Unatetea uongo naweYeye ndie kakupenda,uongo unakuwaje unausemea moyo wake?!
Huo ni uongo bhana uongo 😄😄Nakupenda❤️😁
🙂 hahaHuo ni uongo bhana uongo
😅 ndiyo🙂 haha
Alright sawa 🙂ndiyo
Huu mkono wa nanAbee
Muulize mleta madaHuu mkono wa nanView attachment 3307417
Aah halafu nilijua mada ni Yako. KunradhiMuulize mleta mada
SawaAah halafu nilijua mada ni Yako. Kunradhi
Umetisha mkuu pole sana si utafute mkunaji?Mimi toka 2023 april.ila nawashwa balaa Hadi kizunguzungu .nimegundua sioni vizuri
😂😂😂😂😂Samahani Nesi Kungwi wewe ni Mwanaume ama Mwanamke?
😂😂😂😂😂Una mkono mzuri sana wenye vidole virefu na chokleti kala
Kuna mambo nafanya kwanzaUmetisha mkuu pole sana si utafute mkunaji?