Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Namba moja ni uongo1. Sijavua tangu mwaka jana mwezi wa 4.
2. Sina pesa.
Kwanini?Namba moja ni uongo
Hujavua nguo ama viatu?1. Sijavua tangu mwaka jana mwezi wa 4.
2. Sina pesa.
Mwanamke dadaSamahani Nesi Kungwi wewe ni Mwanaume ama Mwanamke?
Nguo ya mtuHujavua nguo ama viatu?
Nimefikiri ni nguo, ila inaweza kuwa cheni. Haya tuambie basi hujavua nini?Kwanini?
NguoNimefikiri ni nguo, ila inaweza kuwa cheni. Haya tuambie basi hujavua nini?
Huo ni uongoNguo
Amini kwamba n hivyoHuo ni uongo
No 2 - Uongo ni kuwa na pesa kuliko tajiri namba 1 Tanzania1. Kuna mtu nampenda sana, nakosa utulivu nikimuona.
2. Nina pesa kuliko Mo & Bakhressa combined.
NiaminisheAmini kwamba n hivyo
Kama huamini nakuaminishajeNiaminishe
Nisimulie sasa umewazeje kufanya hivyo na ni nguo ganiKama huamini nakuaminishaje
Namaanisha sujamvua mtoto wa mtuNisimulie sasa umewazeje kufanya hivyo na ni nguo gani
Aaah kumbe, labda unaandaliwa kumvua mkeo mtarajiwa.Namaanisha sujamvua mtoto wa mtu