Tukabet sasa hiyo iliyobaki labda tutapata chochoteNaahidi kusoma comment moja baada ya nyingine
Weekend ndo hii
Ikibaki teni naweza kuishi nayo siku 10Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu.
Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine.
Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na 50000 naanza kuwa na adabu kabisa
Halafu ikishabaki hela kidogo ndo mahitaji yale muhimu ambayo lazima yafanywe ndo yanapoanza kujitokeza mfululizoWakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu.
Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine.
Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na 50000 naanza kuwa na adabu kabisa
Kitaalamu.Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine.
Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na 50000 naanza kuwa na adabu kabisa
Na huu ndo ukweliKitaalamu.
Hicho kiwango kidogo ambacho ukiwa nacho unakuwa na nidhamu, basi hio ndio THAMANI yako halisi.
Yaaani kila binadamu ana thamani yake in terms of handling Pesa, kile kiwango unachokuwa unakimudu basi hiko ndio THAMANI yako kifedha.
Kuna mtu akipewa 1m hawezi imudu hadi ifike 200k ndio anatulia, yupo wa 10m, yupo 100m, 1B+. Jitahidi sana kuwa mtulivu unapopata hela nyingi zaidi ya ulivyozoea, Thamani yako itapanda kwa utulivu ukiwa na Pesa na sio kiasi cha Pesa unachoshika.
Nje ya mada unafunga cash shingap mkuu kwa kumpiga muhindi kwa mwezi
InategemeaNje ya mada unafunga cash shingap mkuu kwa kumpiga muhindi kwa mwezi
That's true.Kitaalamu.
Hicho kiwango kidogo ambacho ukiwa nacho unakuwa na nidhamu, basi hio ndio THAMANI yako halisi.
Yaaani kila binadamu ana thamani yake in terms of handling Pesa, kile kiwango unachokuwa unakimudu basi hiko ndio THAMANI yako kifedha.
Kuna mtu akipewa 1m hawezi imudu hadi ifike 200k ndio anatulia, yupo wa 10m, yupo 100m, 1B+. Jitahidi sana kuwa mtulivu unapopata hela nyingi zaidi ya ulivyozoea, Thamani yako itapanda kwa utulivu ukiwa na Pesa na sio kiasi cha Pesa unachoshika.
Wewe nidhamu yako inarudi ikibaki ngapi?That's true.
Mh! 😎Wewe nidhamu yako inarudi ikibaki ngapi?