Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

Mimi binafsi huwa nafikia rock bottom ndo akili inarudi
 
Kitaalamu.

Hicho kiwango kidogo ambacho ukiwa nacho unakuwa na nidhamu, basi hio ndio THAMANI yako halisi.

Yaaani kila binadamu ana thamani yake in terms of handling Pesa, kile kiwango unachokuwa unakimudu basi hiko ndio THAMANI yako kifedha.

Kuna mtu akipewa 1m hawezi imudu hadi ifike 200k ndio anatulia, yupo wa 10m, yupo 100m, 1B+.
Jitahidi sana kuwa mtulivu unapopata hela nyingi zaidi ya ulivyozoea, Thamani yako itapanda kutokana na utulivu wako ukiwa na Pesa fulani na sio kiasi cha Pesa unachoshika.
Dah nimecheka sana kwa ufafanuzi huu.

Kwa hiyo huyu mtoa mada, thamani yake ya uhimilivu ipo chini sana isee!
 
Back
Top Bottom