Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

Hizi mada zinakuja sana humu JF,na wengi wanaochangia ni watanzania waliojaa husuda, fitina, kukatishana tamaa na kebehi nyingi tu, mtoa hoja sikiliza mkuu maisha ni popote hapa duniani, kufa tunakufa popote usiogope, jiandae kisaikolojia kichwani na uelewe na uamue kuwa no turning back, good luck mkuu nenda kajaribu maisha, kule kuna dudula hapa kuna panya road usiogope, ukifika wabongo kaa nao mbali sana, wengi wako kama hawa humu wanaokukatisha tamaa, jhb ni kama Dar, pilika nyingi, mzunguko wa pesa upo, kifo kipo mkononi ila ndio sehemu ya kutafuta, Durban kuna opportunities nyingi sana hasa za ujenzi baada ya yale machafuko ya July, Capetown ni mji mzuri mno ila kwa waliojijenga tayari, kuko peace ila cost of living ipo hai, kwangu kama umekomaa kichwani ingia jhb straight, again kiswahili cha kibongo wakimbie, jichanganye na warundi,wakongo, wakenya even wapopo, good luck mkuu,ukifanikiwa on the way back via lingusenguse tusalimiane
 
Kama huna Elimu na Akili ila una DNA ya Uwizi na Utapeli nenda Johannesburg, ila kama unazo nenda Cape Town ambako patakufaa na hutojutia.

Safari Njema.
 
Daah!!! Shukurani sana bro angalau umenisaidia kufunguka....hilo la kukaa nao mbali nikifika nishalifanyia kazii...nikifika ni utekelezaji tu!!
Shukurani pia kwa mchanganuo mzuri na kuongezea kuhusu Durban pia.
 
Mshana Jr ur welcome to share ur experience

Mkuu mtoa Mada don't Afraid anything Watanzania ni watu wapumbavu they thought like a kid , Wanapenda kutoa vitisho kwa watu wakati hawajui chochote kuhusu hustling life zaidi ya ngono tu .


The same mimi Kuna moment nilipitia huko Bukoba ngumu Sana nilipoamua kuondoka kwenda sehemu kupambana Kuna watu walinipa vitisho .

Now I'm matured enough siko tiyari kusikiliza upumbavu wa Mbongo.
 
Mkuu usipepese macho nenda Johannesburg ndio mji wa biashara na mishe zote ni kama Dar kwa Tz ila kwa vile huna pesa ni lazima uwe mwizi upige mchomoko!,ama uwe pusha uwe utatumwa kupeleka madawa ya kulevya sehemu ama uuze bangi yakutoka Swaziland,kinyume na hapo itakuwa ni uongo ndugu yangu !,ukifika prichard & devas msalimie Mamba panshop kiongozi [emoji851]
 
I'm proud of people like you man🙌🏼
 
Mshikaji wangu wa rika langu alienda dizonga mwaka 99 na amerudi ni teja na ana waya. Tumempa bajaji washkaji zake tuliokuwa pamoja. Kazaa na mzuru na mtoto wamemchukua wazuru.
Unapata faida ku-share negativity
Watz bana Mtu aneanda kuhustle then unatoa vitisho what the kind of shit!?
 
Usjalii mkuu....huyo mwamba lazima nifike kwakee
 
Tatizo lenu vijana wa sasa ni wavivu,tena mnatamaa sana,wewe unadhani ukienda huko ndo utakuwa tajiri,kwqnza sasa hivi wenyeji hawataki ngozi nyeusi tena,unaenda kuishi maisha ya tabu sana
 
Tatizo lenu vijana wa sasa ni wavivu,tena mnatamaa sana,wewe unadhani ukienda huko ndo utakuwa tajiri,kwqnza sasa hivi wenyeji hawataki ngozi nyeusi tena,unaenda kuishi maisha ya tabu sana
Yaan nmegundua ni kwanini inafikia hatua mpaka mtu anaamua kutukana....mkuu umesoma vizuriii uzi wangu??? em nionyeshe ni wapi nimesema naenda kutafuta utajiri???
Afu usivo na aibu unasema eti ngozi nyeusi haitakiwiii na ni nchi ya bara lako la Afrika nnayoongelea, je ningesema naenda UK au USA ungesemaje????...
 
Unapata faida ku-share negativity
Watz bana Mtu aneanda kuhustle then unatoa vitisho what the kind of shit!?
Sikupi vitisho, nakupa ya mambo yanayotafuna vijana Dizonga. South ukiwa na hela au hauna waya na poda ni vitu vinavyotakiwa kuwa kichwani mwako kila ukiamka au ukilala. Nenda ukifika utakumbuka hii kauli kwa mazingira utakayo yakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…