Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

Yaan nmegundua ni kwanini inafikia hatua mpaka mtu anaamua kutukana....mkuu umesoma vizuriii uzi wangu??? em nionyeshe ni wapi nimesema naenda kutafuta utajiri???
Afu usivo na aibu unasema eti ngozi nyeusi haitakiwiii na ni nchi ya bara lako la Afrika nnayoongelea, je ningesema naenda UK au USA ungesemaje????...
Tatizo lenu vijana wa sasa kugeuzwa bakta ni fasta sana,yani wewe kuwa bwabwa ni fasta sana,kwa jinsi akili zako zilivyo ndogo,bongo pamekushinda unakimbilia kwa watu,nenda kawe kama bobrisky
 
Sasa unaongea Nini ebu tulia hujui chochote kuhusu Maisha we Mtoto Mdogo
Hili nalo bwabwa daah jamii sasa hivi mabwabwa yamejaa,naona mnataka kwenda kutafuta mabwana wapya,ok kazi kwenu maana kule wamejaa wengi kama nyie,tanzania hatutaki mabwabwa naona mnakimbilia South,eti nawe umekaa bondeni hadithi za masikani zinawachanganya vitoto vya sasa hiv
 
Sawa Mkuu
Tukana tu
 
Mshikaji wangu wa rika langu alienda dizonga mwaka 99 na amerudi ni teja na ana waya. Tumempa bajaji washkaji zake tuliokuwa pamoja. Kazaa na mzuru na mtoto wamemchukua wazuru.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ni maisha ya kipumbavu sana,hapo kabaki na sifa tu kwamba usimuone vile mshkaji alikuwa bondeni yule.
 
Tatizo lenu vijana wa sasa kugeuzwa bakta ni fasta sana,yani wewe kuwa bwabwa ni fasta sana,kwa jinsi akili zako zilivyo ndogo,bongo pamekushinda unakimbilia kwa watu,nenda kawe kama bobrisky
Tatizo lenu vijana wa sasa kugeuzwa bakta ni fasta sana,yani wewe kuwa bwabwa ni fasta sana,kwa jinsi akili zako zilivyo ndogo,bongo pamekushinda unakimbilia kwa watu,nenda kawe kama bobrisky
Khaaaaa!!!! Kugeuzwa hakuna uhusiano na nchi ni mtu mwenyewe maana hata bongo watu wa namna hiyoo wamejaa...anyways mpaka umefikia kufikiria hizo mambo nishajua wewe ni mtu wa aina gani!!
Ko sipotezi tena muda na mtu kama wewe...
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ni maisha ya kipumbavu sana,hapo kabaki na sifa tu kwamba usimuone vile mshkaji alikuwa bondeni yule.
Ko na wewe sifa unayoitaka ni kwamba japo una maisha magumu lakini hujawahi toka nje ya Tanzania au sio???
 
Khaaaaa!!!! Kugeuzwa hakuna uhusiano na nchi ni mtu mwenyewe maana hata bongo watu wa namna hiyoo wamejaa...anyways mpaka umefikia kufikiria hizo mambo nishajua wewe ni mtu wa aina gani!!
Ko sipotezi tena muda na mtu kama wewe...
Wewe unaenda South umejipangaje??una ndugu huko au jamaa??unachoenda kufanya ni kipi??endelea kukurupuka utakuja hapa kusema ningejua nisingeenda south
 
Wakuu heshima zenu.
Moja kwa moja kwenye mada husika.

Nataka kwenda South Africa kujaribu bahati yangu huko pia,maana uwanja wa nyumbani naona maji yananizidi kina kila uchwao...simaanishi kwamba nimejaribu kila kitu hapa nyumbani bongo "hapana" ,ila kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa wanaume tunavifanya pale tunapokuwa desperate kuelekea the point of hitting-the-rock-bottom kwaajili ya kupata chochote kitu...sasa kusema ule ukweli siwezi kuvifanya hapa nyumbani(na hii ni kwasababu zangu binafsi ambazo kwako huenda ukaona ni sababu za kipuuzi,ila utofauti huu wa kimtazamo ndio sifa moja ya binadamu kamili right?)....

Sasa baadhi ya vitu ambavyo nipo tayari kuvifanya nje na sio hapa nyumbani ni kama kubeba mizigo bandarini/viwandani,kuuza vitu kwenye traffic jam,kutembeza bidhaa kitaa(street vendoring),....nk nahisi ushapata picha nini namaanisha.
Sasa kati ya nchi zote nimeichagua south africa sababu ya diversity ya hustlers waliopo kule, sasa shida ni kwamba siyajui kiundani majiji haya matatu Capetown, Pretoria na Johannesburg.

Hivo kwa mwenye kujua au anayeishi katika moja ya majiji hayo naomba kujuzwa taarifa za msingi kuhusu majiji haya matatu.
Asante.

"We're born to suffer"
Lucky Dube
Wa south Africa ni wabaguzi huko,fanya maamuzi sahihi.
Xenophobia ipo huko
 
Back
Top Bottom