Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

..ahahahaha sasa mkuu hii mentality wakoloni wangekuwa nayo wangevuka bahari na kuja kututawala na kupata utajiri wetu mkubwa?.walikuwa na ndugu, wajomba,mashangazi huku Africa?.kama waliweza kuja tena kwa safari za hatar sana bila Internet au kujua wanaenda wapi why vijana wa sasa uoga mwingi?

Nae anaona kaandika kitu kwa kutumia akili eti una ndugu huko
 
Kama umeshindwa hustle nyumbani ukiwa free kabisaa sidhani kama huko south.A kuna kipya zaidi ya mateso, ubaharia ni jina tuu ila kiukweli hakuna kipya zaidi ya majuto na kuteseka else uwe na kitu cha msingi kinachokupeleka...mark my words!
sisi watz ni waoga sana.... nadhani kutojua vizuri lugha kunashusa conf yetu.... unataka kuniambia kweli kabisa bongo na SA ni sawa?
hapa siyo kwamba watu wanashindwa .... hapana hakuna ajira
 
..ahahahaha sasa mkuu hii mentality wakoloni wangekuwa nayo wangevuka bahari na kuja kututawala na kupata utajiri wetu mkubwa?.walikuwa na ndugu, wajomba,mashangazi huku Africa?.kama waliweza kuja tena kwa safari za hatar sana bila Internet au kujua wanaenda wapi why vijana wa sasa uoga mwingi?
Kwa mtu aliyesoma historia anajua walitumwa wapelelezi,walikuja kwa gear ya dini,baada ya kutulisha maneno yao manzuri tukawaamini walichotufanya wanajua wenyewe,sasa
Mleta mada apajui South vinzuri mpaka anaandika uzi anaomba msaada humu kwa anayejua South vinzuri amu elekeze wapi pakufikia kati ya hiyo miji aliyotaja hapo juu sasa kwa mtu mwenye akili unaona dogo kakurupuka,kalishwa maneno ya masikani kuwa South maisha yapo sana,mimi nampa ushauri kama mtanzania mwenzake kuwa anapoamua kufanya maamuzi ya jambo kubwa kama hilo atulize akili yake,ndo maana nimempa option aende Botswana kule hakuna ubaguzi kama ilivyo south
 
Mkuu nenda direct jozi, halafu nakazia kuna mdau kasema kaa mbali na wabongo maana wabongo waliowengi michongo yao ni wizi na kuuza dawa japo wapo wachache ambao wana utimilifu na wako na biashara halali, kwa sababu umeshajiandaa kufanya kazi zote ni safi cha kukaa nacho mbali ni kuiba na kununua vitu vya wizi, na kuuza madawa na magendo, jaribu marafiki zako wawe Warundi kwanza kwa kuanzia, wacongo sii mbaya, wapopo hawa ongea nao kimachale sana japo ndio jamii ya kutoka nje ya SA waliofanikiwa halali na kwa haramu, jibane sana foreigner usile madem au wake za watu ukajulikana utaundiwa zengwe kali na usimuamini sana dem wa kizuru, kikubwa jipange kabisa namna utakavyosurvive siku za mwanzo ukiwa jozi, akilini weka wewe ndio master wa safari yako, wasikutishe vifo hata bongo vipo kila siku na hata ukibaki bongo hutaishi milele so fukuzana na ndoto zako hadi utakapoishia maaana wapambanaji hua hawarudi nyuma ni kusonga mbele mwendo wa vitani haijalishi utakutana na magumu mangapi.
 
mkuu hata hao missionaries hawakupajua Africa walichukua risk wakafanikiwa..vijana uoga haujengi..leo hii kuna vijana wa mataifa mengine wapo kutafuta maeneo hatarishi kama Congo, south Sudan, Iraq, etc..ujasiri unatangulia kwanza mengine yanafata hata Mungu anachukia watu waoga na wenye negativity refer safari ya wana wa Israel kwenda Kaanani na mambo mazito waliyopitia na wakafanikiwa.
 
Mkuu pigo za kupewa pa kulala na watz liangalie sana, wataanza kukupeleka na mizigo wakubebeshe drug, wakiona mwaminifu utaagizwa peke yako ufikishe mzigo, ukikomaa wataanza kukuelekeza namna ya kufunga mzigo kwenye packs ili uingie sokoni lakini ukikamatwa wote hutowaona kikubwa uende na makaratasi uishi na kuingia kihalali
 
Ok Mimi natoa ushauri tu
 
Umeanzisha huu uzi iliupate nini humu?? Kama maamuzi ushaamua kwaiyo unakuja kutuambia unaenda South??mzee huku jamii kunawatu washaenda huko wanakupa muongozo unajifanya ushaamua,hivi ujui kinachoendelea huko,wabongo wanajazana ubalozini wanataka kurudi home
Okay
 
Mshikaji wangu wa rika langu alienda dizonga mwaka 99 na amerudi ni teja na ana waya. Tumempa bajaji washkaji zake tuliokuwa pamoja. Kazaa na mzuru na mtoto wamemchukua wazuru.
So what?? Umeulizwa habari za Rafiki yako? Kwann mwanaume unakuwa mbeya kama unashindiliwa kuni??

Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa hivyo.
 
Mkuu pigo za kupewa pa kulala na watz liangalie sana, wataanza kukupeleka na mizigo wakubebeshe drug, wakiona mwaminifu utaagizwa peke yako ufikishe mzigo, ukikomaa wataanza kukuelekeza namna ya kufunga mzigo kwenye packs ili uingie sokoni lakini ukikamatwa wote hutowaona kikubwa uende na makaratasi uishi na kuingia kihalali
Ofcoz naenda na official papers bro
 
mkuu hata hao missionaries hawakupajua Africa walichukua risk wakafanikiwa..vijana uoga haujengi..leo hii kuna vijana wa mataifa mengine wapo kutafuta maeneo hatarishi kama Congo, south Sudan, Iraq, etc..ujasiri unatangulia kwanza mengine yanafata hata Mungu anachukia watu waoga na wenye negativity refer safari ya wana wa Israel kwenda Kaanani na mambo mazito waliyopitia na wakafanikiwa.
Nilichogundua sisi wabongo hatupendi kabisa kuskia kitu kinaitwa ku take risk....
 
So what?? Umeulizwa habari za Rafiki yako? Kwann mwanaume unakuwa mbeya kama unashindiliwa kuni??

Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa hivyo.
Mimi nimempa kisa ili ajifunze kitu! Pia unatakiwa ujue kuwa visa vya vijana kuishia kwenye Poda na Kupata UKIMWI Sauzi ni vingi. Pia jifunze kuwa muungwana acha matusi.
 
Hili nalo bwabwa daah jamii sasa hivi mabwabwa yamejaa,naona mnataka kwenda kutafuta mabwana wapya,ok kazi kwenu maana kule wamejaa wengi kama nyie,tanzania hatutaki mabwabwa naona mnakimbilia South,eti nawe umekaa bondeni hadithi za masikani zinawachanganya vitoto vya sasa hiv
mbona unakua kama demu jamaa .. kwani kama hujawahi kwenda south inakulazimu vipi kuleta kejeli .. mtu kaomba tu ushauri kama huna si ukae kimya kuliko kuleta ujuaji wa kulazimishana mambo .. kwani lazima wote tuishi bongo .. https://jamii.app/JFUserGuide
 
Mkuu nenda direct jozi, halafu nakazia kuna mdau kasema kaa mbali na wabongo maana wabongo waliowengi michongo yao ni wizi na kuuza dawa japo wapo wachache ambao wana utimilifu na wako na biashara halali, kwa sababu umeshajiandaa kufanya kazi zote ni safi cha kukaa nacho mbali ni kuiba na kununua vitu vya wizi, na kuuza madawa na magendo, jaribu marafiki zako wawe Warundi kwanza kwa kuanzia, wacongo sii mbaya, wapopo hawa ongea nao kimachale sana japo ndio jamii ya kutoka nje ya SA waliofanikiwa halali na kwa haramu, jibane sana foreigner usile madem au wake za watu ukajulikana utaundiwa zengwe kali na usimuamini sana dem wa kizuru, kikubwa jipange kabisa namna utakavyosurvive siku za mwanzo ukiwa jozi, akilini weka wewe ndio master wa safari yako, wasikutishe vifo hata bongo vipo kila siku na hata ukibaki bongo hutaishi milele so fukuzana na ndoto zako hadi utakapoishia maaana wapambanaji hua hawarudi nyuma ni kusonga mbele mwendo wa vitani haijalishi utakutana na magumu mangapi.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako...pamoja sana bro!!
 
Back
Top Bottom