Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

Mshikaji wangu wa rika langu alienda dizonga mwaka 99 na amerudi ni teja na ana waya. Tumempa bajaji washkaji zake tuliokuwa pamoja. Kazaa na mzuru na mtoto wamemchukua wazuru.
Mtoa mada yeye hataki kusikia story za hivi,anataka mmwambie story tamtam zile za motivational speakers.

Mpeni story anazozitaka mkuu.
 
Hivi unafikiri mpaka nimefikia kufanya maamuzi sijui kuhusu hizo story???
Sijaja kuomba ushauri wa kwenda au kutokwenda.... nishafanya maamuzi tayari....kilichobaki ni kuyajua hayo majiji vizuri ili niende kwenye moja kati ya hayo...na ndo kilichofanya nianzishe uzi....
 
Umeanzisha huu uzi iliupate nini humu?? Kama maamuzi ushaamua kwaiyo unakuja kutuambia unaenda South??mzee huku jamii kunawatu washaenda huko wanakupa muongozo unajifanya ushaamua,hivi ujui kinachoendelea huko,wabongo wanajazana ubalozini wanataka kurudi home
 
Hivi unafikiri mpaka nimefikia kufanya maamuzi sijui kuhusu hizo story???
Sijaja kuomba ushauri wa kwenda au kutokwenda.... nishafanya maamuzi tayari....kilichobaki ni kuyajua hayo majiji vizuri ili niende kwenye moja kati ya hayo...na ndo kilichofanya nianzishe uzi....
Wanaofanya kitu kinachoitwa 'burn the Bridges' hua hawana story mingi Kama zako boss.
 
Wewe unaenda South umejipangaje??una ndugu huko au jamaa??unachoenda kufanya ni kipi??endelea kukurupuka utakuja hapa kusema ningejua nisingeenda south
..ahahahaha sasa mkuu hii mentality wakoloni wangekuwa nayo wangevuka bahari na kuja kututawala na kupata utajiri wetu mkubwa?.walikuwa na ndugu, wajomba,mashangazi huku Africa?.kama waliweza kuja tena kwa safari za hatar sana bila Internet au kujua wanaenda wapi why vijana wa sasa uoga mwingi?
 
Back
Top Bottom