Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

Sikupi vitisho, nakupa ya mambo yanayotafuna vijana Dizonga. South ukiwa na hela au hauna waya na poda ni vitu vinavyotakiwa kuwa kichwani mwako kila ukiamka au ukilala. Nenda ukifika utakumbuka hii kauli kwa mazingira utakayo yakuta.
Vijana wengi wa kitanzania walioenda kutafuta maisha South wengi wao wamerudishwa wakiwa marehemu kwa kuuawa kwa kuchomwa na visu na kwakupigwa risasi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Johannesburg kazi unayoweza kufanya inatakiwa uende wanakotengeneza magari uwe unaweza umeme wa magari kupaka rangi vizuri na kunyoosha body maana wageni wengi wanafanya kazi ya kununua gari zilizogongwa na kupeleka kunyoosha Jeepe street ukiwa sawa kwenye hizo fani hasa kupaka rangi utagombewa...ishu ya kuuza vitu mtaani haipo hao Metro wanakamata sana na pia ili uende sawa na document zako ukifika Messina unaomba wakugongee siku 90 hata kwa rushwa ndani ya hizo siku utakua umepata deal la kufanya.. wanaojihusisha na gereji za magari ni Watanzania na Warundi hao mataifa ya magharibi hautaenda nao sawa hata kama haujui huko utapewa kazi ya msasa kusafisha bodi ukiweza unajifunza rangi hiyo ndio inawatoa vijana wengi wanaotafuta maisha...maeneo ya Mabonenng kule na mbele ya Jeepe street au Commissioner ndio mambo ya ufundi na Watanzania utawakuta huko zipo gereji kibao za kina Baba Sofia na wengineo na ukifika hapo ukiomba kazi unapewa na maisha yataendelea ila kwa Johannesburg usijihusishe na vitu au kazi ya tamaa sijui kuiba,unga au majani utaambiwa kutoka Swazi jua utapotea maana Polisi wakijua mgeni wengi wanauawa labda mtuhumiwa awe na pesa...na hilo Jiji usipende kutembea usiku ukitoka job nenda home usiku una mambo mengi sana hao polisi wenyewe wanageuka wazee wa mishe na pia ishu ya kutunza hela kuwa msiri sana sio unatangaza nina kiasi fulani vijana wa kazi watatumwa kuja kuzichukua all in all kazi salama zipo ukiwa na fani yako kama huna fani labda ukajifunze kule kwa gharama ya kutumikiswa tuu mpaka ujue...Karibu Gauteng Province..
hongera kwa mchango mzuri na unaoeleweka naamini umeelewesha wengi pia
 
Mimi pia huwa napenda kusafiri mkuu ila sehemu zenye risks kubwa za waziwazi sikanyagi aisee,hiyo inakuwa ni kulazimisha ili mradi tu uonekane uko nje ya nchi.
Tanzania wale wapiga nondo huko mbeya waliniulia watu ninaowafahamu maisha ni ku take risk wewe ukiwa huwezi kufanya hivyo unatulia waache wanaoweza kufanya hivyo Mungu pia anatuepusha na mabalaa mimi nashinda SA na Tanzania ila nikifika bara bara zetu zina hatari sana kwa ajali ns ni kawaida ntasema nisilete gari Tanzania kwa sababu ajali za kusababishiwa zipo nyingi..
 
Nimesoma pana watu wanasema Botswana ni nzuri kuliko SA yaani Gsborone,Nata,Pahalapye,Fransis town na Maharapye hii ndio miji yao mikubwa ila mzunguko wa fedha ni mdogo kuliko SA na pia ilikua na Wazimbabwe wengi wakifanya kazi za ufundi pale wengi walirudishwa Zimbabwe na mabus sasa hivi wanawajali sana Raia wao wafanye hizo kazi...Watanzania wengi walikua wsnaishi kwa vibali vya kuoa sasa hivi wamebadili ukioa hawakupi kibali wanasema huku ni ukweni yaani Botswana kwa mila zao muoaji aende na mke kwa hiyo wanataka urudi na mke wako Tanzania na wapo seriuos sana kuhusu hilo wengi wanarudishwa mpaka Kazungula pale mpakani na Zambia huku wakiwa wamefungiwa akaunti na mambo mengine...
 
We mtoa mada ni mpumbavu sn sn aisee, hv we umeleta jambo kwa umma ushauriwe watu wanakupa hints ujue unaamua nn unaambiwa huo uamuz wako pia ujue uendako kuna mabaya meng tu ajabu unawashambulia wanaokwambia hatari iliyoko uko na kusfia wanaokupa moyo wkt wnyw unawaacha bongo hapa, mjinga mmoja anakwmbia mambo sjui ya bukoba upuuz kbs unalinganisha changamoto za bukoba na changamoto za nje ya nchi. Na ww mtoa mada n kama umeshaamua kwenda si uende kmykmy humu unatuchoresha tu na kutupotezea muda tu.
 
Jamaa mpumbavu sn sn, kila anayekupa angalizo kwmb huko sko na wengne wanakupa mifano hai unaona n wakatisha tamaa tu au hawajielewi we nenda bahati mbaya hujastuka tu wanaokupa moyo wako bongo hapa hapa wanapga maisha yao nlitegemea wakwambie muende wote huko, unalinganisha changamoto za bongo nyumban na za nchi ya ugeni ambako hata hujui wana tamadun zipi we si kichaa wewe kbs. Nenda kauze pipi na hzo juice ustupotezee muda humu maana unawapangia watu nn cha kusema khs safari yako, nenda.
 
Umeelewa kichwa cha habari lakini au unabwata bwata kama mfa maji yeye anataka ufafanuzi kuhusu 3 cities sio unakuja na vitisho vyako kama huelewi mada ni vizur kukaa pembeni sio unaumia na kitu usicho kielewa
 
We mtoa mada ni mpumbavu sn sn aisee, hv we umeleta jambo kwa umma ushauriwe watu wanakupa hints ujue unaamua nn unaambiwa huo uamuz wako pia ujue uendako kuna mabaya meng tu ajabu unawashambulia wanaokwambia hatari iliyoko uko na kusfia wanaokupa moyo wkt wnyw unawaacha bongo hapa, mjinga mmoja anakwmbia mambo sjui ya bukoba upuuz kbs unalinganisha changamoto za bukoba na changamoto za nje ya nchi. Na ww mtoa mada n kama umeshaamua kwenda si uende kmykmy humu unatuchoresha tu na kutupotezea muda tu.
Ametaka ushauri wa mji gani ni nafuu katika utafutaji kati ya Joburg, Cape Town na Pretoria.

Angetaka kujua hatari za huko angeweza kuuliza. Mada yake iko wazi, acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu mbwa wewe.

Kama hujawahi fika huko we piga kimya tu. Sio kila thread uchangie. Jiheshimu.
 
Tuma salamu kwa watu watatu.
Salamu za kwanza kwa wanaochangia kwenye uzi wangu kabla ya kuusoma vizuri na kujua nini nataka

Salamu za pili kwa wanaofikiri kuwa kisa baadhi ya watanzania walipata/wanapata shida SA basi by default Ina apply kwa watanzania wote

Salamu za tatu kwa watoto wa kiume wote wanaojikita kuongelea hatari hatari hatari za SA kama vile wananionea huruma sana kana kwamba nikibaki bongo sitakufa au kupata tabu yoyote au watanisaidia chochote kwenye maisha yangu....
 
Johannesburg kazi unayoweza kufanya inatakiwa uende wanakotengeneza magari uwe unaweza umeme wa magari kupaka rangi vizuri na kunyoosha body maana wageni wengi wanafanya kazi ya kununua gari zilizogongwa na kupeleka kunyoosha Jeepe street ukiwa sawa kwenye hizo fani hasa kupaka rangi utagombewa...ishu ya kuuza vitu mtaani haipo hao Metro wanakamata sana na pia ili uende sawa na document zako ukifika Messina unaomba wakugongee siku 90 hata kwa rushwa ndani ya hizo siku utakua umepata deal la kufanya.. wanaojihusisha na gereji za magari ni Watanzania na Warundi hao mataifa ya magharibi hautaenda nao sawa hata kama haujui huko utapewa kazi ya msasa kusafisha bodi ukiweza unajifunza rangi hiyo ndio inawatoa vijana wengi wanaotafuta maisha...maeneo ya Mabonenng kule na mbele ya Jeepe street au Commissioner ndio mambo ya ufundi na Watanzania utawakuta huko zipo gereji kibao za kina Baba Sofia na wengineo na ukifika hapo ukiomba kazi unapewa na maisha yataendelea ila kwa Johannesburg usijihusishe na vitu au kazi ya tamaa sijui kuiba,unga au majani utaambiwa kutoka Swazi jua utapotea maana Polisi wakijua mgeni wengi wanauawa labda mtuhumiwa awe na pesa...na hilo Jiji usipende kutembea usiku ukitoka job nenda home usiku una mambo mengi sana hao polisi wenyewe wanageuka wazee wa mishe na pia ishu ya kutunza hela kuwa msiri sana sio unatangaza nina kiasi fulani vijana wa kazi watatumwa kuja kuzichukua all in all kazi salama zipo ukiwa na fani yako kama huna fani labda ukajifunze kule kwa gharama ya kutumikiswa tuu mpaka ujue...Karibu Gauteng Province..
Asante saaana mkuu kwa ushauri mujarabu....naamini umesaidia watu wengi...finger crossed 🙌🏼
 
Siku nikiamua kusepa hapa bongo basi ni states au Caribbean islands.

Sio sauzi nchi ya kijambazi unakufa hivi hivi kisa simu ya laki 2.

Nope

Sauzi nitaenda kula Bata ila sio kutafuta maisha.
Kama point ni kifo bro...."Death is inevitable" popote unakufa tu....hata states watu wanakufa sana tuu!!
Afu mimi na wewe yaan tumepishana😊😊 mimi natamani nikipata ndo niende states ku enjoy....af wewe unataka ukatafute states ukipata urudi ku enjoy SA sehemu ambayo tayari umesema imejaa ujambazi 😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
 
Back
Top Bottom