Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

before haujaenda s.a eb kwanza zama you tube andika " KUTOKA UGHAIBUNI " sikiliza kwanza story za wana uko kiwanjani zikoje ukihisi unaziweza basi nakushauri nenda ila kama hauziwezi stay home jigga.
Nimeangalia sana hicho kipindi... kumbuka kwenye matatizo mengi ndo kuna fursa nyingi piaa....so niende Pretoria/Capetown/Johannesburg???
 
Mme

Nimeangalia sana hicho kipindi... kumbuka kwenye matatizo mengi ndo kuna fursa nyingi piaa....so niende Pretoria/Capetown/Johannesburg???
matatizo yapo ila ayatafutwi mwamba. kama unayatafuta basi utakula na wa kwenu.
 
Mwanaume mwoga hivi sijui namuonaje aise
 
Kama umeshindwa hustle nyumbani ukiwa free kabisaa sidhani kama huko south.A kuna kipya zaidi ya mateso, ubaharia ni jina tuu ila kiukweli hakuna kipya zaidi ya majuto na kuteseka else uwe na kitu cha msingi kinachokupeleka...mark my words!
Acha kumkatisha tamaa jamaa, mtembea bure sio sawa na mkaa bure. Hapo bongo kuna nini cha maana? Bongo sugua kichwa bila shughuli yoyote, pesa huna, maji hamna na umeme wa mgawo !! Si bora jamaa aende tu akapambane South Africa anaweza kutusua na hayo mashida ya maji na umeme yakawa ndoto kwake. Nenda mwana nasikia Capetown ndio kupo powa na kazi ulizozitaja utapata tu huko, muhimu uweke discipline ya pesa na uwe mwaminifu utatoboa tu. Inshaallah.
 
Baki dar au nenda mwanza ila kama haiwezekani kabisa basi nenda cape town sababu
1.kuna mall nyingi sana na parks zinatoa part time job sana
2.wazungu wapo wengi na wale wanaajiri sana.
3.Angalau Kuna amani
4.mzunguko wake wa pesa uko vizuri
5.Wakhosa sio wabaya sana kama Zulu
 
Shukrani mkuu kwa ushauri wako...
 
Kaka ungewezq kuzamia huku... sweden ungetoboa hata miaka mitano humalizi....
Safari moja huanzisha nyingine....tutafika huko someday,kwa sasa ngoja tuanze na SA vipi lakini mkuu we ushatoboa huko?
Kama hutojali unaweza kuja Pm kunipa ABC za kufanya endapo nikiwa ready kwa route ya huko!!!
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…