Niende Uganda ama Kenya

Niende Uganda ama Kenya

E

Exchange rate sio kitu.

Kama ukiwa Engineer Uganda ukalipwa 10M ya Uganda. Na Engineer wa Tz akalipwa 6.2M ya Tz ,si inakuwa sawa tu?
Nashangaa wakenya wanavyojisifu sana kuwa pesa yao ina thamani.


Ishu kubwa inatakiwa tuangalie matumizi, kama 60,000TZS ni sawa na 4000KNS


Matumizi ya 4000 kwao na 60000 kwetu yanafanana?


Unakuta kote unapata smart kitochi

In short hakuna tofauti
 
Back
Top Bottom