Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Hivi wenzangu huwa mnajuaje u smart wa mtu? Kwenye avatar ama? Just curiousWakuu habari za majukumu?
Nimetafakari maneno yaliyo kwenye moja ya post za Nifah nikajisikia kumtunuku kuwa ni Dada smart wa siku.
Kilichonivutie kwake ni kipande hichi cha sentensi na nukuu "what am trying to say is....mapenzi ya ukweli yapo haijalishi wapi utakapokutana na soulmate wako,ila naamini yapo." Mwisho wa kunukukuuu
Hii ni kwa mtazamo wangu. Ktk kutia moyo na wakupromoti Dada zetu nawewe weka wazi yupi ni Dada smart kwa siku ya leo kwako, utupe na sababu.