Nifah ni dada smart wa siku ya leo ktk jukwaa hili

Nifah ni dada smart wa siku ya leo ktk jukwaa hili

Mkuu mpyonko nakushukuru sana kwa kuutambua na kuuthamini mchango wangu.
Ni watu wenye hekima pekee wanaoweza kuwapongeza wenzao hadharani namna hii maana wanatambua hawatopungukiwa chochote.

Ubarikiwe [emoji120]
 
Halafu hawa hawakujui, na wakikujua watakutafuta kwa GPS [emoji16]
 
Hapa nawazaa ukute huyu ni shemela wako kabisa ila nampigia debe jamani hizi ID hizi
Nani huyo? The bold? Kama ndiye wala siye mama.
Nimebana kote ningekuwa na mwenzangu ningeshajua heheeeeeee [emoji4]
 
Back
Top Bottom