Nifah ni dada smart wa siku ya leo ktk jukwaa hili

Nifah ni dada smart wa siku ya leo ktk jukwaa hili

Mimi namtamani geniveros siku nikila busu lake nadhani sintalala
 
Yaani siku mapenzi yetu yakikomaa yakafikia kwa akina nifah na the bold ntafurahi sana
Mkuu,mapenzi yanahitaji uvumilivu sana.
Na mpendane haswaaaa.
Mimi na Bold tunapitia mengi mnooo,Wallah mkiyajua mtastaajab ni vipi tupo pamoja hadi leo hii.

Hata iweje,mapenzi yetu ndiyo hushinda ktk changamoto zote.
Ukitaka mapenzi imara basi jiandae kukabiliana na changamoto.
Kila la kheri.
 
Yupo mchawi ataibuka kuponda..! Tabia za wachawi kulia msibani huku wakijua wao ndiyo sababu ya mauti ya MAREHEMU.
Hiyo ni kawaida mkuu,nimepitia mengi sana JF hii,nimepondwa sana.
Ila namshukuru Mungu wapo wanaonikubali kama hivi.
Am humbled.
 
Back
Top Bottom