Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃJamani upo
 
Kuna Oligarch gani mwenye weledi uliotukuka aliyeingilia mapenzi yenu? Inaonekana huyo somo ni jasusi bobevu kwenye hizo mambo za kuharibu mahusiano
Nimecheka sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mpenzi wangu wa sasa hakuvunja mahusiano yetu, nilikuwa nae baada ya kuachana na kukaa sawa (kumove on)
 
Ameen Yaraby ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Duh! Nauliza tu, vipi nafasi ipo wazi na unahitaji mpenzi mwingine mtakayefikia lengo kuu la kuwa mume na mke na hatimaye kuunda familia, yaani uwe mke halali wa mtu?
 
Yani mkiachana maswali ni mengi maneno pia mengi kiasi hata mkisalimiana watu lazima watengeneze story Haina afya ukiwa na mahusiano mengine pia
Bora kuficha had mfikie uchumba au ndoa
Ndicho nitakachokifanya sasa dear, kama sio uchumba au ndoa hakuna kuwatambulisha shemeji mpya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ