Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Mapenzi yaacheni tu Kama yalivyo....who knows huyo asiye muislam anaweza badili dini Kwa sababu yake?
Halafu mtume alisema akija mtu mkamridhia tabia yake muozesheni, hakusema dini yake....muhimu tabia, anaweza kuwa MUISLAMU akawa na tabia mbovu, na aside MUISLAMU akawa na tabia njema.
 
Nimekufeel we mdada
 

Wewe ni Muislamu?
 
Kma ww ni muislam, nimekuchukia kutaka kuolewa na mtu asiyekuwa muislam. Kwani waislam waliisha?. Tujaribu kujielewa, japo sikufahamu ila allah haruhusu hiyo kitu hata kidogo.
 
Sub haanallah, tumuogopeni Mwenyezi Mungu, msifanye yaliyo nje na Uisilamu!

﴿وَمَا هَٰذِهِ الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَهْوٌ وَلَعِبٌ ۚ وَإِنَّ الدَّارَ الْآخِرَةَ لَهِيَ الْحَيَوَانُ ۚ لَوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ﴾
[ العنكبوت: 64]

Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa wanajua!​

 
Bila shaka utapata mwingine tena mwenye sifa hizi.


Ila kukaa miaka 7 bila kuhalalisha nalo ni tatizo..
 
Nina imani huyu wa sasa, ana sifa hizi au zaidi ya hizi.

Kila la kheri
 

Attachments

  • Screenshot_20240102-155813.jpg
    532.2 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…