Mapenzi yaacheni tu Kama yalivyo....who knows huyo asiye muislam anaweza badili dini Kwa sababu yake?Uislamu hauruhusu Muislamu kuolewa na asiekua Muislamu, unaolewa na mtu asiekua muislamu kutakua na kheri hapo! Kwanini usifanye subra mpaka upate Mwanamme wa kiislamu mwenye kheri nawe, unaingia kwenye mapenzi na mtu usiemjua na isitoshe sio wa imani yako!
Allah akuongoze dada yangu Nifah , akujaalie upate mume mwenye kheri nawe, nakupenda kwa ajili ya Allah
Halafu mtume alisema akija mtu mkamridhia tabia yake muozesheni, hakusema dini yake....muhimu tabia, anaweza kuwa MUISLAMU akawa na tabia mbovu, na aside MUISLAMU akawa na tabia njema.