Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Sawasawa, kazi nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kawa kawaida,sipendi muonewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa, kazi nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kawa kawaida,sipendi muonewe
Ahahah 😃😂Hee kumbe miaka yote hakukuoa
Na mmoja akapotea kabisaWao pia yaliyoyoma labda kama wamerudiana.
Weee usiniambie 😃😃Na mmoja akapotea kabisa
tupo wengi mkuu😅Kuna binti humu ndani namzimia sana aisee yaani dah nashindwa kuweka wazi hapa ila wakati wa MUNGU Ni wakati sahihi zaidi
Acha niishie hapa... [emoji117][emoji117][emoji3059]
Mungu atuvushe mwaka salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nifungulie mlango niingie ndani tafadhaliView attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Hadi sasa ushavunja mangapi😃😂Mwisho wa kukaa na mtu kwenye mahusiano ni miaka miwili
Ikizidi hiyo miaka bila kunioa navunja hayo mahusiano.
🤣🤣🤣Watu wanawaonaje Tena?tunawaona mnapendana....love is a beautiful thing usiogope kadadaaKwakweli 😃😃.. Hivi inakuwaga aje mpaka watu wanajua Kama mnadate, au Mimi ndo mshamba wa mapenzi??. Maana naona kinachoumizaga ni Ile aibu watu wanatuonaje na vitu Kama hivyo 🤔🤔
Hiyo miaka miwili kwani tulifikaaa😄💔Hadi sasa ushavunja mangapi😃😂
Kwamba ndo ulimwengu wote ujue ciccy 😃😃🤣🤣🤣Watu wanawaonaje Tena?tunawaona mnapendana....love is a beautiful thing usiogope kadadaa
Jamanii kwa kuwa waliweka wazi mahusiano yao ngoja tuulize ina maana ulikuwa uchumba SUGU pasipo ndoa hatimaye 🏃🏽♀️Ahahah 😃😂
SioNifar, nakumbuka ulisema kwa mwaka huu kitu ulichofanikiwa nikurudiana na mpenzi wako mliyotenga kwa muda.
Swali; ndio huyo mliyoachana? Nijibu pls.
Hapana sikuwezi😃😃😂🙌Hiyo miaka miwili kwani tulifikaaa😄💔
usitangaze siku yakitushinda au sio Lee!. Kimya kimyaaSawasawa
Yes if possible... tatizo mmoja akiwa kicheche ndio anakuchoresha ila wote mkiwa genuine hamna tatizoKwamba ndo ulimwengu wote ujue ciccy 😃😃
Si unajua kuchunguzana😃Jamanii kwa kuwa waliweka wazi mahusiano yao ngoja tuulize ina maana ulikuwa uchumba SUGU pasipo ndoa hatimaye 🏃🏽♀️