Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Cc: Mahondaw
Karudisha majeshi kwa smart kwa tambo kubwaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc: Mahondaw
Na ukichunguza Mahusiano mengi ya humu...
KE ndiyo wanakuwaga na kimbelembele cha kuyaweka wazi...
Sijui wanajiaminigi nini...Wasidate kimya kimya...
acha kabisa mkuu na wanakutag kabisa🤣🤣🤣🤣 hii comment umeandika kwa uchungu
ukisikia kenge anapiga kelele jua amefinywa sawasawa. Mwamba ukute hata alishamsahau dada yetu ila dada yetu bado anamkumbuka tangu August huko, hapo ndio utajua aliyeachwa ni naniKapiga chini? Kwani yeye hawezi kupigwa chini?
Vita ina amina kwako ambaye hujui moja wala mbili😁😁😁Hehehehe 🤣🤣🤣
😀😀Halafu sasa wakija kuachana yule ex wake ukisubutu kuweka like kwenye comments zake utajua hujui😁😁😁
Pole mkuuacha kabisa mkuu na wanakutag kabisa
Bibi yako ana shida.[emoji38][emoji38][emoji38]
Ila jaman[emoji23]
Yaani 😃😃🤣, unageuka mbuzi wa kafalaVita ina amina kwako ambaye hujui moja wala mbili😁😁😁
🤣🤣🤣Bibi yako ana shida.
Mpaka nimeandika kimasai, badala ya kuandika za nikaachama sa 🤣
Si ndiyo...Yani Wana ujasiri aisee wanafaa hata kwenda kwenye vita [emoji3]
Watu wadate kimya kimya mkiachana kilamtu anakula hamsini zake maisha yanaendelea
😂ukisikia kenge anapiga kelele jua amefinywa sawasawa. Mwamba ukute hata alishamsahau dada yetu ila dada yetu bado anamkumbuka tangu August huko, hapo ndio utajua aliyeachwa ni nani
Ok. SASA UNATAKA TUFANYE NINI? AU HILO LINATUATHIRI VIPI SISI WA JF?View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa ojamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Hahah 😂😂😂Si ndiyo...
Kuna hilo Husiano moja lilikuwaga humu[emoji1]Enzi hizo Bidada kila sehemu ni kumtaja jamaa...
Jamaa akija ana'like tu.. hajibu wala nini...Ni kama jamaa alikuwa hapendi ile kitu..
Sasa hivi sijui hata lilishiaga wapi[emoji1]
Hebu litaje hilo husiano😂😂Si ndiyo...
Kuna hilo Husiano moja lilikuwaga humu[emoji1]Enzi hizo Bidada kila sehemu ni kumtaja jamaa...
Jamaa akija ana'like tu.. hajibu wala nini...Ni kama jamaa alikuwa hapendi ile kitu..
Sasa hivi sijui hata lilishiaga wapi[emoji1]
Wewe wako nani?. Halafu huyu dada alikuwa ana leta ubuyu wa Doctor Cheni na Salma jambazi sijui Ali kiba na Lulu leo naona ubuyu wake kaona aulete🤣🤣Ooh no ilikua couple yangu bora ya kila mwaka, why jamani? Mapungufu yapo hakuna mkamilifu, mmeshindwa kabisa kupata suluhu🤔
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JF ina vituko hii...Halafu sasa wakija kuachana yule ex wake ukisubutu kuweka like kwenye comments zake utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16]