Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Watu wanaolewa mpaka miaka 31, juzi kati hapa Kuna mwanamke katolewa mahari mil 3+ akiwa na miaka 31.
Wakati wa Mungu ni sahihi, kikubwa ajitunze, awe na tabia njema, mtaani asiwe mtu wa kuonyesha ana wanaume tofauti tofauti. Awe stoic.
Alhamdulillah, najitahidi.
Mungu ataleta kheri zake InshaAllah 🙏🏽
 
Back
Top Bottom