Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ukisoma comments humu ni kama vile watu wamefurahia hao wawili kuachana.

Hii itapelekea wengine kuogopa kuweka wazi mahusiano yao humu.

Na mnafanya na sisi Wazee wenu tuogope kuwatambulisha Bibi zenu kwa kuogopa mtatuchawia tuje kuachana Uzeeni [emoji12][emoji119]
alawys wabongo wanapendaga watu wafikwe na mabaya tu ndo furaha yao japo utapewa pole ya kinafki.
 
Kuna binti humu ndani namzimia sana aisee yaani dah nashindwa kuweka wazi hapa ila wakati wa MUNGU Ni wakati sahihi zaidi


Acha niishie hapa... [emoji117][emoji117][emoji3059]
Mungu atuvushe mwaka salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye uangukie pua kwa lidume au shemele nyuma ya fake ID [emoji1745][emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom