Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ukisoma comments humu ni kama vile watu wamefurahia hao wawili kuachana.

Hii itapelekea wengine kuogopa kuweka wazi mahusiano yao humu.

Na mnafanya na sisi Wazee wenu tuogope kuwatambulisha Bibi zenu kwa kuogopa mtatuchawia tuje kuachana Uzeeni 😜🙌
Hii ni kawaida katika jamii yoyote Babu, usiogope.
 
Back
Top Bottom