Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.
Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Mtoa thread ameomba kituo chha watoto yatima wenye uhitaji hajakwambia anaomba ushauri wa nani ampe msaada.Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begin at home.
Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.
Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Ni kwakuwa vituo vingine vya watoto yatima ni vya mchongo...Mtoa thread ameomba kituo chha watoto yatima wenye uhitaji hajakwambia anaomba ushauri wa nani ampe msaada.
Tuwe waelewa some times
Kwani unajuaje hali ya mtu na familia yake mpaka umshauri aisaidie kwanza familia yake.Ni kwakuwa vituo vingine vya watoto yatima ni vya mchongo...
Kutoa msaada kwa mayatima ni sifa za kijinga au mimi ndo sijaelewaHamna bana. Ni sifa za kijinga tu
Amini nakwambia hii threads si kwa ajili yangu pekee, wengine wengi watasauidiwa na ndio maana tumeomba kufahamu sehemu yenye uhitaji hasa. Kwamba kusaidia ama kuungana mkono katika masuala ya kijamii ni kutafuta sifa?Hamna bana. Ni sifa za kijinga tu
Hiki kipo Kivule, DarHabari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Tueleweshe na sisi tusio na uelewa.Ukiona mbongo anatoa msaada jua yeye anapata Mara mbili yake za msaada anaotoa
Hauwezi elewa hizi Mambo ....
Ni swali ambalo hata mimi binafsi nimeliulizaAmini nakwambia hii threads si kwa ajili yangu pekee, wengine wengi watasauidiwa na ndio maana tumeomba kufahamu sehemu yenye uhitaji hasa. Kwamba kusaidia ama kuungana mkono katika masuala ya kijamii ni kutafuta sifa?
Ndugu zake wengi wakishua na anaishi masaki wanaomzunguka pia si habaAnza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begin at home.