Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

Ubarikiwe,
Nakumbuka nilielekezwa Bagamoyo. Nikakutana na kituo cha yatima, yule mama anasema hawa sio yatima ni watu wasio na watu, maana wengine walikimbiwa na wazazi wao hospitali baada ya kujifungua.

Nilinyenyekezwa sana na hizo kauli na hiyo ilikuwa sadaka yangu kwa kusherekea kutimiza miaka flani ya kumiliki jiko.
 
Ndugu zake wengi wakishua na anaishi masaki wanaomzunguka pia si haba

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Mkuu sijafahamu hasa shida ni nini katika huu uzi. Nimeleta uxi kuwakilisha kampuni, naomba utushauri namna njema ya kufanya charity kwa namna ambayo utaona kuwa hatujioneshi wala kujivuna mbele za watu.

Asante in advance kwa ushauri wako
 
ubarikiwe,
Nakumbuka nilielekezwa bagamoyo. Nikakutana na kituo cha yatima, yule mama anasema hawa sio yatima ninwatu wasio na watu, maana wengine walikimbiwa na wazazi wao hospitali baada ya kujifungua.
Nilinyenyekezwa sana na hizo kauli na hiyo ilikuwa sadaka yangu kwa kusherekea kutimiza miaka flani ya kumiliki jiko.
Mkuu Bagamoyo ni kubwa sana
 
Mkuu sijafahamu hasa shida ni nini katika huu uzi. Nimeleta uxi kuwakilisha kampuni, naomba utushauri namna njema ya kufanya charity kwa namna ambayo utaona kuwa hatujioneshi wala kujivuna mbele za watu.

Asante in advance kwa ushauri wako
Tatizo vituo vingi ni vya mchongo,hata mimi nina mpango wa kufungua kituo changu nipige hela.mimi ushauri wangu nenda pale wodi ya wazazi amana au mwananyamalla utaona wamama wanajifungua chini hawana hata hela ya panado wanaume zao walishakimbia siku nyingi ukiwapa hata sabuni ,dawa na nepi utakua umepeleka huduma panapostahili,au nenda temeke hospitali wodi mojawapo ukishirikiana na manesi utapata wagonjwa wasio na ndugu waliokosa huduma
 
Huu ushauri mzuri, niliwahi kwenda temeke wale wanwatu wao choka mbaya wanawajua. Nilikutana na vitu vya ajabu hadi moyo ukasisimka. Zile sadaka naamini zilifika ikulu kwa Mungu sekunde hiyohiyo.
 
Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.

Charity begin at home.
Kwa mtu mmoja mmoja kubebana na familia yake (ndiyo wanavyofanya,mke mume na watoto) kwenda kusaidia yatima huwa siioni tija yake (sisemi mleta mada umekosea) kwa sababu ndani ya mashina ya familia/koo zetu tunao ndugu wengi kula ya kuunga unga,ada watoto zinasumbua magonjwa mavazi hawana etc.

Obviously mayatima hawapelekewi wazazi wao ila wanapelekewa hivyo hivyo nilivyovitaja hapo juu ambapo hivi mnaweza mkajikusanya kama jumuia moja,kama wafanyakazi au team mkaenda kusaidia ila kwa mtu mmoja chungulia ndani ya familia au jirani msaidie hii inaleta maana zaidi,au basi kile utakachoenda kukitoa kule utoe sawasawa na kwa unaowajua kama ni nduguzo au jirani.

So mkuu una hoja hapa japo siyo wote tutakaokuelewa.
 
Tatizo vituo vingi ni vya mchongo,hata mimi nina mpango wa kufungua kituo changu nipige hela.mimi ushauri wangu nenda pale wodi ya wazazi amana au mwananyamalla utaona wamama wanajifungua chini hawana hata hela ya panado wanaume zao walishakimbia siku nyingi ukiwapa hata sabuni ,dawa na nepi utakua umepeleka huduma panapostahili,au nenda temeke hospitali wodi mojawapo ukishirikiana na manesi utapata wagonjwa wasio na ndugu waliokosa huduma
Shukrani sana kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom