Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kuna kimoja kipo Madale mama wa kihaya alitoa wakfu nyumba yake kwamba akifa iwe center ya yatima.
Na kweli kituo kinapata sana watu wa kusaidia. Changamoto inakuja kuna sista wa katoliki pale ana roho mbaya sana anawatesa watoto na kuwanyima chakula. Wale watoto wana maisha magumu sana.