Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

sasa kimtazamo wako huwez jiona kasoro. Yeye ndie anae ku describe. na features anazo taka

Sasa mbona kama umemsemea hiyo kigezo and all I know wanaume warefu huoa wanawake wafupi ni mara chache sana tall man kuoa tall girl so hii cancel haiwezi kuwa reason

Nilichomsoma ni mtu ambae anaogopa wadada wa mjini kupitia story zake
 
Sasa kama ukeshamsoma inabidi uskae kimjinimjini sana
 
Sasa mbona kama umemsemea hiyo kigezo and all I know wanaume warefu huoa wanawake wafupi ni mara chache sana tall man kuoa tall girl so hii cancel haiwezi kuwa reason

Nilichomsoma ni mtu ambae anaogopa wadada wa mjini kupitia story zake
Mmh!! we Mrembo ni mbishi sana
 
Jibu haya maswali, ukijibu kwa ufasaha nitafanya haya....
1. Nitakwambia ikiwa anakupenda ama hapana.
2. Nitakwambia nini ufanye ili umpate.

Maswali....
1. Wewe ni kabila gani?
2. Wewe ni mweupe au mweusi kwa rangi?
3. Ni mrefu au mfupi?
4. Una shepu gani?
5. Ukiwa nae huwa unamwambia asante kwa chochote anachokufanyia?
6. Ukichelewa kufika sehem mliyokubaliana kukutana akakusubiria muda mrefu huwa unaomba samahani?
7. Mkiwa wote, wewe pia ni mwongeaji sana na huwa unamkatisha kabla hajamaliza kuongea?

Hayo ni kwa ufupi, ukiyajibu kwa moyo wa dhati bila unafiki, nakuambia anakupenda au hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…