Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…
Mkaka wa kisukuma mimi nishampenda kiasi kwamba siachi kumfikiria najua atakuwa na mtu hilo
Mimi sijali kwanza hakuna wanaume single sasa mimi nitamtoa wapi.
Tunawasiliana na huwa anaonesha interested na mimi, japo muda mwinginee ana ni ignore hapo ndio ananivuruga.. natamani hata atamke kuwa ana nihitaji but hajawai Sema.. maneno yake ni yaleyale kila siku kusema anafurahi kunipata sijui kufahamiana na mimi..
Ukweli nina furahi uwepo wake.. huwa tunapata chance ya kutoka out ni yeye ananitoa story ni nyingi but hiyo nakupendaa hasemi… mimi nishazimika kwake mpk kuna muda huwa nina type sms kumwambia namna ninavyojisikia but naghairi naifuta naona atanichukulia kama muhuni mwanamke kumtongoza mwanaume..
Jamani huyu Kaka ameshajua kuwa nampenda sasa sijui kwanini ananifanyia hivyo
Naombeni ushauri juu ya Hii hali nimpoteze, nimemwambie au nife nalo moyoni… ukweli nimempenda kama ikitokea nikawa nae basi nitazikwa nae Simu A-C Hii[emoji12]🥹