Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
1,889
Reaction score
3,059
Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…

Mkaka wa kisukuma mimi nishampenda kiasi kwamba siachi kumfikiria najua atakuwa na mtu hilo
Mimi sijali kwanza hakuna wanaume single sasa mimi nitamtoa wapi.

Tunawasiliana na huwa anaonesha interested na mimi, japo muda mwinginee ana ni ignore hapo ndio ananivuruga.. natamani hata atamke kuwa ana nihitaji but hajawai Sema.. maneno yake ni yaleyale kila siku kusema anafurahi kunipata sijui kufahamiana na mimi..

Ukweli nina furahi uwepo wake.. huwa tunapata chance ya kutoka out ni yeye ananitoa story ni nyingi but hiyo nakupendaa hasemi… mimi nishazimika kwake mpk kuna muda huwa nina type sms kumwambia namna ninavyojisikia but naghairi naifuta naona atanichukulia kama muhuni mwanamke kumtongoza mwanaume..

Jamani huyu Kaka ameshajua kuwa nampenda sasa sijui kwanini ananifanyia hivyo

Naombeni ushauri juu ya Hii hali nimpoteze, nimemwambie au nife nalo moyoni… ukweli nimempenda kama ikitokea nikawa nae basi nitazikwa nae Simu A-C Hii[emoji12]🥹
 
Kama bado mdogo inamaana upo hatua ya kujifunza kujua vitu.

Hakikisha ujuaji unaojifunza utakuingizia hela hata kama utakua umelala ndani.

Ujuzi wa umalaya Sio mbaya japo kwa sasa Umalaya sio dili.

Buy the way wasukuma mjini tumekuja kutafta sio kutumia kwahyo hata kuoa tunaenda kuoa nyumbani.

Kwahyo ukiamua kumu Approach jiandae kwa yote mawili, kutakaliwa kikatili au kukubaliwa ila uwe mke wa pili.
 
Anashindwa kuku tell huwenda Anaona una wanaume wengine ambao wanakushobokea sana. Au lbda una urafik sana na Wanaume!!

Wanaume gani hata hatuna ukaribu kiasi kwamba akaona mimi nazungumza na wenginee… tunakaa sehemu tofauti tunaonana mpk atake yeye ndio tunaenda out
 
Kama bado mdogo inamaana upo hatua ya kujifunza kujua vitu.

Hakikisha ujuaji unaojifunza utakuingizia hela hata kama utakua umelala ndani.

Ujuzi wa umalaya Sio mbaya japo kwa sasa Umalaya sio dili.

Buy the way wasukuma mjini tumekuja kutafta sio kutumia kwahyo hata kuoa tunaenda kuoa nyumbani.

Kwahyo ukiamua kumu Approach jiandae kwa yote mawili, kutakaliwa kikatili au kukubaliwa ila uwe mke wa pili.

Kwaiyo nyie wasukuma mkija mjini hampendi wanawake wenginee ama… hiyo kumu approch nimeghahiri nataka nifute namba ili ni moveon
 
Dada tafadhali Mimi sio msukuma mi mtu wa Kilimanjaro sema nimeishi tu usukumani, hua naelewa sana signal zako sema wanawake jamii yako ww sio vitu vyangu kbs huna taaa co ll, una sauti nzito kigimbi tani mbili & na mdomo unatema harufu mbaya
 
Back
Top Bottom