Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Anyway, hiyo sio issue sana kuwa wa mjini au wa kijijini. Nilisema vile wewe mwenyewe ulijihukumu kuwa anakuona wa mjini na anogopa wanawake wa mjini.

Hata huyo wa kijijini akiingia mjini anakuwa wa mjini tena atataka kuwapita wa mjini

Mmmh
 
Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…

Mkaka wa kisukuma mimi nishampenda kiasi kwamba siachi kumfikiria najua atakuwa na mtu hilo
Mimi sijali kwanza hakuna wanaume single sasa mimi nitamtoa wapi.

Tunawasiliana na huwa anaonesha interested na mimi, japo muda mwinginee ana ni ignore hapo ndio ananivuruga.. natamani hata atamke kuwa ana nihitaji but hajawai Sema.. maneno yake ni yaleyale kila siku kusema anafurahi kunipata sijui kufahamiana na mimi..

Ukweli nina furahi uwepo wake.. huwa tunapata chance ya kutoka out ni yeye ananitoa story ni nyingi but hiyo nakupendaa hasemi… mimi nishazimika kwake mpk kuna muda huwa nina type sms kumwambia namna ninavyojisikia but naghairi naifuta naona atanichukulia kama muhuni mwanamke kumtongoza mwanaume..

Jamani huyu Kaka ameshajua kuwa nampenda sasa sijui kwanini ananifanyia hivyo

Naombeni ushauri juu ya Hii hali nimpoteze, nimemwambie au nife nalo moyoni… ukweli nimempenda kama ikitokea nikawa nae basi nitazikwa nae Simu A-C Hii[emoji12]🥹
Labda wewe sio mzuri! Mwanamke mzuri hicho kipengere chako hakipo!
 
Zamani hii ilikuwa mwiko ila saiv wakiona kuchelewa wanajisogeza wenyewe.

Alafu baadae uje uulize una lengo namm au unataka kunichezea?

[emoji1][emoji1]ndio lengo ni nini

Nipe ushaurii nifanye nini
 
Mjini hata wanawake bora wapo ni vile tu mnaonaga kama mjini wanawake ni wahuni unajua aliwahi niambia wanawake wa usukumani ni tofauti na wa town sikutilia maanani
Ungezingatia hilo ungekua ushampata.

Iga zifa za wadada wa usukumani ili upate mume 😁
Mimi sijui wakoje sasa wabhejaa [emoji23]
Ni watii, wanyenyekevu, hawajschangamka ssna.

Kiufupi Tabia zao kwa hapa mjini wanaonekana kama washamba yaani.

Kwahyo nawe jitahidi uwe mshamba mshamba kwake

Sio msichana unajua mpaka kubeti, unamjua mpaka van ndame au p Duddy na kina baritazari.
 
Ungezingatia hilo ungekua ushampata.

Iga zifa za wadada wa usukumani ili upate mume [emoji16]

Ni watii, wanyenyekevu, hawajschangamka ssna.

Kiufupi Tabia zao kwa hapa mjini wanaonekana kama washamba yaani.

Kwahyo nawe jitahidi uwe mshamba mshamba kwake

Sio msichana unajua mpaka kubeti, unamjua mpaka van ndame au p Duddy na kina baritazari.

Hahaha kumbe ni hivyo mbona najifanyaga mshamba yaani kuna sehemu huwa ananipelekaga akiuliza napajua huwa nakataa sipafahamu tena huwa nashangaa namuulize kwaiyo hiki ndio nini [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nimechangamka sijapoa
 
Ninazo kweli ukiachana nazo nimemuelewa
Ningekufunza jinsi ya kufanya ila akifanikiwa kukutia tutagawana dhambi ambayo sina faida nayo kama umemwelewa njoo nikuanze mimi kwanza utafanya kwa ajili ya kulipia Darasa kisha mbinu yangu itakufikisha kwa Mwanaume wa ndoto yako je uko tayari?
 
Wazimu ni mwingi sana
 
Mimi ni kabila kati ya yale makabila maharufu ya kanda ya kati
Ni mweupe peee
Futi 5
Shepu kawaidaa ( mwenyewe ananiniambia nina sexy body [emoji13][emoji13])
Nishamwambia thank u for dinner mara moja tu( huwa nasahau)
Nachelewaga sana kufika meeting yaani akisema saa 12 mimi nitafika saa 3( huwa ana mind hata kutaka kuhairisha but sijawah sema samahani)
Siongei mpk aongee ( kwanza I feel ashamed so siwezi ongea bila yeye kuleta story)

Halafu wewe jamaa unataka nifungue code nini
Sasa iko hivi kwa wasukuma ambao ni wasukuma haswaa.
1. Kuna makabila hawapendelei kuoa, mfano Nyiramba na Nyaturu. Kuna sababu zao siwezi kuziweka wazi hapa ila tambua tu hayo makabila wanayakwepa sana hata kama ni weupe. Kwa ujumla Singida wanaikwepa.
2. Wanapenda sana wanawake weupe, ndio maana anafurahia kampani yako.
3. Urefu wako ni mzuri japo shepu hawaangalii sana. Urefu ni tija kwao.
4. Msukuma hapendi mtu asiyekuwa na shukrani. Ndio maana hata mwanaume akishakula lazima hushukuru mpishi anapokuja kutoa vyombo mezani au kijijini anaenda jikoni kishukuru. Hii ni grave mistake unatenda yaani unafakamia msosi wake hata kusema asante hakuna. Penzi lake utalisikilizia Clouds tu haumpati. Jifunze kushukuru na kumpa sifa. Wewe huoni hata wapambe wa MAMA KILA SIKU WAPO BIZE KUSHUKURU HATA PASIPOHITAJIKA SHUKRANI.
5 Hilo la kufika meeting kwa kuchelewa ni kosa lingine. Nikwambie tu. Msukuma hajui kubembeleza mwanamke, anataka akikupenda pendeka. Akisema njoo muda fulani anamaanisha, akisema anakupenda anakupenda kweli. Kwahiyo hiyo habari yako ya kushindwa kutunza muda anakuona haupo serious na hauendani nae.
6. Hapo kwenye samahan sasa ndio funga kazi. Kama wewe Singida line hasa Nyiramba ndio anapigia mstari hili neno lao TULAGA UBHULAGE, yaani mwanamke wa Nyiramba piga ua ni jeuri haombi msamaha. Moyo wake unasita akiona hizo red flags.
7. Kwenye uongeaji hapo umefuzu.

Fanyia kazi anaweza akapotezea mengine akakuchukua.

Ila na wewe si mara moja moja unamkaribisha kwako unampikia ale chakula chako ulichopika. Au haujui kupika?
 
Mmh wasiwasi wangu ni labda anahitaji kampani ndio maana anapenda kutoka out na mimi
Nimekupa code hiyo.
Mwamba angekuwa hajakuelewa angekukula chap afu akasepa.
Kama anafanya kukutoa outing mara kadhaa, anakupenda
 
Hahaha kumbe ni hivyo mbona najifanyaga mshamba yaani kuna sehemu huwa ananipelekaga akiuliza napajua huwa nakataa sipafahamu tena huwa nashangaa namuulize kwaiyo hiki ndio nini [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nimechangamka sijapoa
Kumbe unakuwa ulishafika unavunga tu🤣🤣🤣😂
 
chrome_screenshot_19 Nov 2024 22_10_55 GMT+03_00.png
 
Sasa iko hivi kwa wasukuma ambao ni wasukuma haswaa.
1. Kuna makabila hawapendelei kuoa, mfano Nyiramba na Nyaturu. Kuna sababu zao siwezi kuziweka wazi hapa ila tambua tu hayo makabila wanayakwepa sana hata kama ni weupe. Kwa ujumla Singida wanaikwepa.
2. Wanapenda sana wanawake weupe, ndio maana anafurahia kampani yako.
3. Urefu wako ni mzuri japo shepu hawaangalii sana. Urefu ni tija kwao.
4. Msukuma hapendi mtu asiyekuwa na shukrani. Ndio maana hata mwanaume akishakula lazima hushukuru mpishi anapokuja kutoa vyombo mezani au kijijini anaenda jikoni kishukuru. Hii ni grave mistake unatenda yaani unafakamia msosi wake hata kusema asante hakuna. Penzi lake utalisikilizia Clouds tu haumpati. Jifunze kushukuru na kumpa sifa. Wewe huoni hata wapambe wa MAMA KILA SIKU WAPO BIZE KUSHUKURU HATA PASIPOHITAJIKA SHUKRANI.
5 Hilo la kufika meeting kwa kuchelewa ni kosa lingine. Nikwambie tu. Msukuma hajui kubembeleza mwanamke, anataka akikupenda pendeka. Akisema njoo muda fulani anamaanisha, akisema anakupenda anakupenda kweli. Kwahiyo hiyo habari yako ya kushindwa kutunza muda anakuona haupo serious na hauendani nae.
6. Hapo kwenye samahan sasa ndio funga kazi. Kama wewe Singida line hasa Nyiramba ndio anapigia mstari hili neno lao TULAGA UBHULAGE, yaani mwanamke wa Nyiramba piga ua ni jeuri haombi msamaha. Moyo wake unasita akiona hizo red flags.
7. Kwenye uongeaji hapo umefuzu.

Fanyia kazi anaweza akapotezea mengine akakuchukua.

Ila na wewe si mara moja moja unamkaribisha kwako unampikia ale chakula chako ulichopika. Au haujui kupika?

Aisee mimi sijui nina ego siwezi kuongea habari ama tukio tulilolifanya hata kusifia kama muhusika hajalisema

Mfano kuna siku tuli meet tukaondoka akasema nikifika nimjulishe nikafika home nikampa feedback haku respond hiyo siku na mimi sikuongeza neno mpk kesho yake.. sasa aliponitafuta nilikuwa calm na sikulizungumzia hilo suala nikaona ame mind ni kama alitaka nianze kusifia but kuna story alianzisha nikaingizia hiyo story na kumsifia basi ni alionekana kafurahi sana.. nikaona anapenda kupewa shukurani

Sema siitaki kufanya mengi mpk niwe sure kama ananihitaji
 
Hebu basi ni siri hapa tuambie, ulipelekwa na nani? Hawez jua

Ila nyie wanawake Mungu anawaona.
Ndio sasa unapelekwa sehemu classic then useme umewai fika si mtu atawaZa ulipe lek wa na naniii
 
Back
Top Bottom