Mimi ni kabila kati ya yale makabila maharufu ya kanda ya kati
Ni mweupe peee
Futi 5
Shepu kawaidaa ( mwenyewe ananiniambia nina sexy body [emoji13][emoji13])
Nishamwambia thank u for dinner mara moja tu( huwa nasahau)
Nachelewaga sana kufika meeting yaani akisema saa 12 mimi nitafika saa 3( huwa ana mind hata kutaka kuhairisha but sijawah sema samahani)
Siongei mpk aongee ( kwanza I feel ashamed so siwezi ongea bila yeye kuleta story)
Halafu wewe jamaa unataka nifungue code nini
Sasa iko hivi kwa wasukuma ambao ni wasukuma haswaa.
1. Kuna makabila hawapendelei kuoa, mfano Nyiramba na Nyaturu. Kuna sababu zao siwezi kuziweka wazi hapa ila tambua tu hayo makabila wanayakwepa sana hata kama ni weupe. Kwa ujumla Singida wanaikwepa.
2. Wanapenda sana wanawake weupe, ndio maana anafurahia kampani yako.
3. Urefu wako ni mzuri japo shepu hawaangalii sana. Urefu ni tija kwao.
4. Msukuma hapendi mtu asiyekuwa na shukrani. Ndio maana hata mwanaume akishakula lazima hushukuru mpishi anapokuja kutoa vyombo mezani au kijijini anaenda jikoni kishukuru. Hii ni grave mistake unatenda yaani unafakamia msosi wake hata kusema asante hakuna. Penzi lake utalisikilizia Clouds tu haumpati. Jifunze kushukuru na kumpa sifa. Wewe huoni hata wapambe wa MAMA KILA SIKU WAPO BIZE KUSHUKURU HATA PASIPOHITAJIKA SHUKRANI.
5 Hilo la kufika meeting kwa kuchelewa ni kosa lingine. Nikwambie tu. Msukuma hajui kubembeleza mwanamke, anataka akikupenda pendeka. Akisema njoo muda fulani anamaanisha, akisema anakupenda anakupenda kweli. Kwahiyo hiyo habari yako ya kushindwa kutunza muda anakuona haupo serious na hauendani nae.
6. Hapo kwenye samahan sasa ndio funga kazi. Kama wewe Singida line hasa Nyiramba ndio anapigia mstari hili neno lao TULAGA UBHULAGE, yaani mwanamke wa Nyiramba piga ua ni jeuri haombi msamaha. Moyo wake unasita akiona hizo red flags.
7. Kwenye uongeaji hapo umefuzu.
Fanyia kazi anaweza akapotezea mengine akakuchukua.
Ila na wewe si mara moja moja unamkaribisha kwako unampikia ale chakula chako ulichopika. Au haujui kupika?